Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu heshima kwenu, Nimepoteza simu na pochi maeneo ya Tanga mjini hadi Pongwe, sina hakika ni wapi ila nilipanda daladala alasiri hii. Naomba kujua namna ya kubock simu yangu isiendelee na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baadhi ya vichocheo vya ugonjwa huo kuwa ni pamoja na unywaji pombe, matumizi ya dawa za kulevya, ugumu wa maisha unaochangiwa na msongo wa mawazo, Morogoro. Matumizi ya vilevi mbalimbali ni moja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
October 11, 2017 Zanzibar, Tanzania Mswada mpya wa mahakama ya kadhi wapingwa Zanzibar Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya. Naja kwenu nikiwa na imani na jukwaa hili, kwa imani hiyo naamini mtanisaidia kuondoka katika mtanziko huu. Naomba kuelimishwa juu ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nakumbuka kuna mwaka boss wa CNN mmarekani alisema Kenya siyo nchi salama kutembelea. Issue kubwa ilikuwa ni mambo ya ugaidi kipindi cha Al-Shabaab.Kwakweli huwezi kutegemea Wakenya waliungana...
16 Reactions
58 Replies
5K Views
Tuliopita walau sekondari na kujaribu kuhudhuria vipindi vya Hesabu mtakumbuka Kanuni na Hesabu za "Sequence and Series " Wakati tunajifunza hesabu, wale waliokuwa hawazipendi walikuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mada inayojadiliwa ni "mitandao ya kijamii" karibuni tufuatilie. ======================================== UPDATES => Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Ndugu Maxence Melo akiwa katika...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao na maeneo mengi na nimegundua watanzania wengi hawana mbinu za uandishi eidha kwa makusudi au kwakutokujua mfano...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za jumapili wadau. Kuna simulizi tamu ilianza kusimuliwa na kijana Michael anayeonekana kama atakuja kupendwa na Mke wa mchungaji aitwaye Mery. Nakumbuka mke alianza vituko dhidi ya Mume...
1 Reactions
10 Replies
50K Views
Hakika Dunia ni mviringo Yule mbabe wa vita wa enzi hizo, ambaye pia amewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya jeshi la polisi; ndugu, Abdallah Zombe sasa yupo yupo tu anagongea bia. Aliuza...
59 Reactions
200 Replies
30K Views
Kila siku wanachapwa na kudharaulishwa na Muzungu lkn mbona albadir zao hazimdhuru Muzungu? Kila siku ndo kwanza naona Bush anakula bata tu, tena yeye na Babake, yule Bush Mzee anashuka kwenye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Gazeti la Nipashe, limechambuwa jinsi BUKU 10 ilivyorudisha heshima mitaani, sasa hata ukimwachia mama watoto sidhani kama kuna kubinua mdomo au kusonya tena! Hongera kwa dola yetu kwa kuondoa...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Idara ya uhamiaji katika mkoa wa Kagera imeendesha operesheni maalumu katika wilaya ya Ngara na Biharamulo na kufanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 106 walioingia kinyemela katika wilaya hizo...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na kuzuia nchini TAKUKURU mkoa wa Morogoro imewafikisha mahakamani maafisa watendaji watatu wa vijiji, mwenyekiti wa kamati ya vocha pamoja na wafanyakazi watatu wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza kampuni ya Microsoft imesema hadharani kwamba rasmi sasa hawatatengeneza wala kuendeleza tena mfumo wa Windows kwa simu janja (windows Phone OS). Taarifa rasmi kupitia mtandao...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
FAMILIA YA LISSU: TUPO GIZANI *Yamshukia IGP Sirro, yasema itanyamaza iwapo waliompiga ndugu yao watakamatwa *Yakumbushia yaliyotokea kwa marehemu Barlow, yaeleza walichojibiwa na AG Na ABRAHAM...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
HIVI karibuni, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Ingawa wito huo wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tatizo la kutosikia na kukosa elimu ya utambuzi wa noti bandia limedaiwa kuwa chanzo cha watu wenye ulemavu wa kusikia (viziwi) kupoteza mitaji, biashara na kuathirika kiakili. Mwenyekiti wa...
1 Reactions
1 Replies
698 Views
WAKUU HESHIMA KWENU. naandika uzi huu mida hii ni usiku wa manane usinginzi umekata kabisa jambo ambalo limenifanya nianze kujiuliza kusuhu umuhimu wa usiku na faida zake. inawezekana mchana pia...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…