Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kila siku wanachapwa na kudharaulishwa na Muzungu lkn mbona albadir zao hazimdhuru Muzungu? Kila siku ndo kwanza naona Bush anakula bata tu, tena yeye na Babake, yule Bush Mzee anashuka kwenye maparachuti tu kila siku full kicheko na good Time, ...