Mswada mpya wa Mahakama ya Kadhi wapingwa Zanzibar

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,232
24,093
October 11, 2017
Zanzibar, Tanzania

Mswada mpya wa mahakama ya kadhi wapingwa Zanzibar

Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA) Dr. Mzuri Issa ameomba mswada mpya wa Mahakama ya Kadhi uangaliwe kwa makini. Ametoa rai kwa Mh. Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Mohammed Shein kuuangalia kwa makini mswada mpya kabla ya kuutia saini maana kuna masuala ya usawa wa kijinsia hayajatiwa uzito. Ametoa mfano kuwa Mufti Mkuu wa nchi ya Kenya na pia Chief Kadhi wa huko Malaysia wakibainisha kuwa katika Qur'ani Tukufu hakuna katazo mwanamke kuwa Kadhi au mjumbe wa Baraza la Ulama ndani yake.
Soma habari za awali:
Asasi za kiraia zalia na mswada wa sheria ya mahakama ya Kadhi ...
zanzibar24.co.tz/2017/.../asasi-za-kiraia-zalia-na-mswada-wa-sheria...
14 Sep 2017 - Asasi za kiraia zalia na mswada wa sheria ya mahakama ya Kadhi ... Wanaharakati wanaoshughulikia maswala ya kijinsi Zanzibar wametoa malalamiko yao juu ya mswada wa sheria ya kadhi ... katika mahakama za kadhi kuanzia Januari hadi Agosti 2017 .....

Source: ZAIMA TV
www.zanzibarassembly.go.tz/.../2017/mswaada-wa-mahakama-ya-...

GAZETI RASMI LA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
(Hupigwa Chapa kwa Amri ya Serikali) Sehemu ya CXXVI Nam. 6649 20 Aprili, 2017


Mswada wa Sheria ya Kufuta Sheria ya Mahakama ya Kadhi Nam. 3 ya 1985 na Kuanzisha Upya Mahakama ya Kadhi na Kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo
20 Apr 2017 - Mapinduzi ya Zanzibar - Tanzania katika nyumba ya kupiga, Sanduku la Posta 261. Nakala ... Sheria hii itajulikana kama Sheria ya Mahakama ya Kadhi ya 2017 ... “Mrajis” maana yake ni Mrajis wa Mahakama ya Kadhi aliyeteuliwa .... atakapoteuliwa Kadhi Mkuu mpya au mpaka Kadhi Mkuu aliyekuwa.......
 
Back
Top Bottom