Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ujio wa usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda na bajaji unatajwa kuvuruga biashara ya teksi katika mji wa Moshi kutokana na gharama ndogo wanayotoza. Uchunguzi umebaini kuwa gharama za...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimesikia muda si mrefu mnapiga wimbo wa "Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" . Hongereni sana kwa kutuelewa[emoji122][emoji122][emoji122], inaonyesha wazi kabisa Boss Ruge huwa unapitia JF...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Naanza kuangalia kuanzia mashuleni wale waliokuwa vimbelembele walipewa u class monitor, makazini wale vimbelembele ndio wanaongezewa mishahara kupandishwa vyeo nk ni watu ambao utakuta ofisi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu,niende kwenye mada moja kwa moja.mimi ni mtumishi wa umma katika halmashauri fulani hapa nchini.katika kuhangaika sana na maisha niliona nijiajiri pia ili niweze kupanua kipato...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Mhe. Lazaro Nyalandu amesema kuwa ameliona tabasamu la uso wa Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Tundu Antiphas Lissu na kusema kwamba Hakika Mungu anaendelea...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Hamjambo,, Kwa ufupi tu, huyu dada Hapendi maneno mengi, ni mtendaji, mchapa kazi, hana mambo ya akina ALLY HAPPY, Nilimsikiliza siku moja wakati nipo ziarani huko Kilimanjaro, ana...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwakweli majengo ya Wizara nyingi hapa Dar nikama magofu.Hayakarabatiwi wala nini.. Angalia majengo ya W/Afya, Fedha,Nisati na Madini, Kilimo, Mifugo etc. Afadhali wahamie Dodoma ili Wajengewe...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1 / 8 Do you avoid washing hands thinking that it isn't so important? You may be wrong. Bacteria, viruses, fungi and parasites exist on the skin and in mucus, blood and other body fluids. Some...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2016 ambayo imetolewa leo. Orodha hiyo iliandaliwa kwa kuangazia pato la...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Nina Uhakika kabisa Jamiiforums ndo forum bora kuliko zote Afrika Mashariki na Africa kwa Ujumla. Ila Ningependa kujua kuhusu nchi Nyingine za Africa, Je wanazo forums km Jf? Kwa mwenye kuzijua...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu Wakazi wa Mkoani Pwani wamekuwa wakitozwa nauli zisizokuwa sahihi huku SUMATRA Mkoa wa Pwani mkiwepo. Mfano ni Wilayani Kibiti, huku kulipokuwepo "watu wasiojulikana" nikiwa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tokea wiki hii ianze nmekua nafatilia hotuba za huyu mzee,daaah,huyu mzee alikua na details na info za dunia nzima tenda top secrete na info za ndan,na uchambuz wake wa mambo ulikua si wa kawaida...
26 Reactions
118 Replies
10K Views
Niweka mbali na watoto nyakati hizooo Nyumbani huna chakula hata kidogo Mfukoni huna hata mia Mahakamani unakesi uliyoachiwa kwa dhamana Kitaani unamadeni chungu nzima Nyumba unayoishi unadaiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
JPM amjibu MAGUFULI kuhusu nyongeza ya mishahara ,Zanzibar. -Katika maazimisho ya Mei Mosi huko Moshi,1/5/2017 JPM alieleza kuwa kutakuwa na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini...
13 Reactions
24 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana kuwa na mbuga za wanyama na wanyama mbalimbali wakiwemo Nyumbu.kwa mujibu wa takwimu Tanzania ina nyumbu zaidi ya million 2. Swali la kujiuliza mwananchi wa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
ilikuwa miaka ya late 1980s mpaka middle 1990s mwishoni ndo tunakua kua hivi tunaishi sehemu mmoja inaitwa sinde mkoani mbeya. ilukuwa ni chini juu kulikuwa ni isanga. sisi huku chini sinde...
23 Reactions
84 Replies
10K Views
Kwa Tz, mtu akishakuwa Mbunge anakuwa ameingia kwenye zone ya kupata pesa nzuri sana. Na amakuwa na connections kubwa kubwa na fursa za kuweza kuchukua mikopo na mengineyo. Kimsingi kwa mtu...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi! Leo napenda ku share nanyi (japo kwa uchache) jinsi tabia ya mtu inavyobadilika akiwa mtumiaji wa JF. Kwa ufupi kutokana na observation niliyofanya, nimegundua kwamba; mtu...
42 Reactions
82 Replies
7K Views
Ni dhalimu wa kutisha anayedaiwa kutafuta kende na ubongo wa wapinzani wake Anadaiwa kuwa mchuna ngozi wa watu wakiwa hai na amekuwa madarakani kwa miaka 38 Ni mwizi mkubwa na amemteua mtoto wake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…