Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
salaam jf.
Jamani usiku huu kuna mtu kanichanganya kweli kweli kanambia akisha staafu ananikatia nusu ya mafao yake nikafanye ninachotaka, sasa naona kama kuchelewa manake sasa hivi yupo rikizo ya kustaafu kwa hiyo nilitaka kujua anapata ngapi ili nipige mahesabu yangu kabisa. Nipeni mwongozo mfano akifa je?
Kama kazi kaanza toka enzi za ruksa.