Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Kumetokea mtikisiko mdogo wa kama sekunde 5 Hivi maeneo ya Wilaya ya Urambo muda huu ,sifahamu kwingineko
Mamlaka husika Tunafahamu mungu ndio mjuaji
lakini kuna utaaalam wakutumia vifaa kujua kutatokea tetemeko au kurudi,
Tunaomba Tupewe taarifa kama litarudi watu tujipange mapema