HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Familia yake huisikii au kusoma kuwa na mabiashara luluki kama vile magazeti, kuwa na hisa kwenye mashirika kama vile UDA au DART na hata kwenye siasa huoni wala husikii kama ni wabunge au watu wa halmashauri na zaidi huwaoni watoto wake kwenye Instagram na facebook wakirusha video na kadhalika
Ina maana wao hawataki kutumia mwanya wa Magufuli kujinufaisha kisiasa na kibiashara au ni washamba wa haya mambo ya social media?
Hii inakuwa taabu kwetu sie wengine ambao tushazowea kuwachambua na kuwashambulia (saa zingine bila sababu yoyote ile ya msingi au saa zingine tunakuwa na bad mood tuu) kiongozi na familia yake na ndugu zake (kwa sababu huyo kiongozi anaishi kwa kodi zetu)
Nishachoka kumchambua Magufuli na hanipi nafasi ya kumshambulia kwa nepotism na sasa najiuliza lini huyu ata crack?
Mbaya zaidi Mkewe naye hajafungua NGO ambayo tunaweza kwenda kujipachika ili tenda zetu ziende kwa vimemo kama zamani
Mtu gani asopenda mambo mazuri jamani? Nina wasi wasi kuwa hata mipira JPM hatazami hivyo Cable zitakuwa ni BID'AA hapo Ikulu
He is really getting on my nerves, mtu gani yuko clean namna hii?
ina maana kama hamna kashfa itabidi JF wafunge ili tukafanye kazi za maana.