Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Story time... Baada ya kuwasalimu kwa NRNE. Tuchangamshe genge kidogo. *** Miaka miwili ilopita nilikuwa kule kanda ya ziwa KAHAMA MJINI, kiutafutaji. Nilikuwepo kata ya Nyasubi kimtaa flani...
0 Reactions
4 Replies
542 Views
Habari wana JF 👋🏾 Wahenga walituhusia mengi, lakini kadri muda unavyozidi kwenda mambo yanabadilika. Moja ya misemo maarufu ni: “Mtegemea cha ndugu hufa masikini.” Lakini ukija kwenye uhalisia...
8 Reactions
26 Replies
539 Views
  • Redirect
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na pikipiki mtandao. Tangazo hilo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (4445)
Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa...
1 Reactions
8 Replies
299 Views
Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi...
0 Reactions
9 Replies
303 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amemuarifu kuwa, Mhe. Rais Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa...
15 Reactions
76 Replies
1K Views
Anonymous (ca61)
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa...
0 Reactions
14 Replies
319 Views
Mambo Vijana Tanzania !. Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa...
2 Reactions
6 Replies
188 Views
Na Mwandishi Wetu Wadau wa sekta ya usafiri wa majini katika mikoa ya Mwanza, Kigoma na Kagera arehe 16 Aprili, 2026 wamejitokeza na kutoa maoni yao kuhusu athari za ongezeko la bei ya mafuta...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Watu wanaofanya kazi ya kutafuta abiria Stendi ya Magufuli wamemkata mwenzao ambaye amekuwa na tabia ya kukaa kwa muda mrefu bila kuoga na kumfunga kamba kisha kumbeba kwenge mkokoteni mpaka...
8 Reactions
26 Replies
738 Views
Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwandishi ni mtu wa karibu wa mlalamikaji Nimesikiliza video ya Mh Kigwangwala nimecheka sana Huyu alikua Rafiki yangu sana kabla hajawa Waziri. Hata alipokuja London mimi ndio nilikua mwenyeji...
13 Reactions
50 Replies
1K Views
Watumishi sita wa Bohari ya Dawa (MSD) akiwemo Mhasibu Mwandamizi na Wafamasia wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 37 yakiwemo ya wizi wa dawa na vifaatiba...
4 Reactions
24 Replies
666 Views
Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) inayozungumziwa bado haijakamilika rasmi, na matumizi yake kwa sasa yameruhusiwa kwa dharura kufuatia changamoto iliyojitokeza katikati ya...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji...
4 Reactions
42 Replies
624 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…