Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hamjui; Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Askari wa Ofisi ya Upelelezi Mkoa wa Ilala anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumbaka mtoto wa miaka sita anayesoma shule ya awali. Habari hii imeandikwa na Nipashe. ==== Taarifa...
10 Reactions
70 Replies
8K Views
Baba mzazi wa Regina, Daniel Labai akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Oktoba 29,2017 amesema wanatarajia kumzika kesho Jumatatu Oktoba 30,2017 katika Kijiji cha Mamire wilayani Babati. Labai...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Juma George Tanzania ni mali yetu, kuipenda na kuijenga ni wajibu wa kila mmoja wetu. Huu ndio ulikuwa msimamo wa wazee wetu walioipigania na kuikomboa nchi hii kutoka katika mikono dhaIimu ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
-Kila kukicha watanzania wanalalamika maisha n magumu,Muheshimiwa raisi twakuomba utufikirie zaid sio kwamba rushwa na mianya ilifanya urahisi wa maisha hapo kwanza inawezekana kuna njia rahisi...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Watoto watatu wamefariki dunia baada ya kuzama baharini eneo la Muungoni mkoani Kusini Unguja. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kheri Mussa Haji aliwataja watoto hao kuwa ni Issa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
,
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Mwanafunzi mmoja wa darasa la nne katika shule ya msingi Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kuvamiwa na mamba wakati akioga na wanafunzi wenzake mtoni huku matukio ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa watu wa Dar wale wapenda chips kuku, mishikaki ya kuku,matumbo,miguu na vichwa pilipili kidogo, kachumbari pembeni na Tomato Jiangalieni sana kuweni makini kuku wengi wamekufa kwa mafuriko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemtumia ujumbe Rais wa sasa wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu siku yake ya kuzaliwa ambayo...
12 Reactions
72 Replies
10K Views
Kila nikikumbuka haya mauaji machozi yananilenga....najiuliza kwanini Tanzania haikufanya chochote na ikasubiri USA na nchi nyingine za maghalibi. Am I missing something?Nakumbuka Primary...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Watu wasiojulikana wakija na Agenda yao labda waue lakini wakipiga risasi damu ipo tutaongezewa na kuendelea kutafuta Ukombozi wa hili Taifa Hii ni alama ya Ukombozi wa Taifa letu lakini pia ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya makanisa ya kilokole yanatupa tabu sana hatupati usingizi kwa muziki wanaopiga kwenye makanisa yao usiku, wanafoka usiku kucha sijui maombi ya aina gani haya. Sijui serikali imeweka sheria...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu.MDOGO wangu anapenda sana fani ya jeshi lakini no mwajiriwa idara ya Elimu afanyaje ili aweze upa moyo kitu inapenda? CD zote chumbani kwake za kijeshi tupu.Akiangalia gwaride LA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalam alykum ndugu zangu. Wakati tunamaliziamalizia wikiend yetu naomba tushare hili lililofanyika hapa Arusha kwenye shirika la Nyumba. Kabla ya mzee wangu kipenzi cha watu aliekuwa manager...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa...
17 Reactions
64 Replies
9K Views
Ni aliyekuwa mbunge kutoka Jimbo la wanaume hasa kwenye hule mkoa ukiingia Kuna bango limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara you MUST BE STRONG. Ambaye alipataga shavu Sana kwa kuuza vitabu vyake...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Polisi Mkoani Mtwara imeanza uchunguzi wa kifo cha mtoto SAID NASSORO mwenye umri wa miaka 11, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Chuno katika Manispaa ya Mtwara/Mikindani aliye jinyonga kwa kutumia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogro SACP Ulrich Matei ameihama ofisi yake na kuweka kambi katika vijiji vya wilaya ya Kilosa vilivyokuwa na historia ya migogoro kati ya wakulima na wafugaji hasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…