MOSHI, KILIMANJARO
Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za...
Rose Emanuel(75) mkazi wa Madale, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambaye amekuwa akilala nje ya makazi yake kwa siku 12 tangu Septemba 3 baada ya nyumba yake pamoja na...
Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october.
Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label...
Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa .
Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka...
Je, Kuwaombea Marehemu Msamaha Kunachochea Uovu Duniani, ni ulaghai, ina maana leo mtu anaua na kupora mabilioni, anasaidi jamii yake ili akifa imuombee aende mbinguni, tuacheni huu utapeli.
Baada...
Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili.
Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani...
Jana saa kumi jioni nilihisi kuchoka na kama kukata tamaa vile,
Na kuona mbona ni kama najitahidi kupambana na ninarudishwa nyuma,
Yaani ni kama kuna nguvu zinanifanya nisipige hatua na hata...
Sisi wakazi wa Jiji la Tanga, Kata ya Masiwani, Mtaa wa Tanzanite, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kukarabati na kuboresha daraja la Kanisani.
Tumekuwa tukipata changamoto kubwa kuvuka katika...
Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi...
Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate...
Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU...
Kuna kauli moja inasema hivi,
Wajinga hawachukii elimu yenyewe, bali humchukia mtu anayewafanya waone jinsi walivyo na upungufu wa maarifa.
Hivi karibuni kuwekuwa na hali ya watu...
Uyu bro hata akishawishika watu wengi tutaamini jamii ya kabila lake kua ni jepesi sana kufuata fulsa ya fweza then ataunganishwa na tabia binafsi na pia kama atamudu kukaza angalau ataonekana...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Paternus Niyegira, amesema kuwa wananchi ndio wenye mamlaka kuu ya kuwawajibisha viongozi kwa sababu wao ndio waliowapa mamlaka hayo kupitia mkataba wa kijamii na...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya...
Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu...
Leo, tumetuma kontena lingine kutoka Malawi🇲🇼 hadi Ulaya. Limejaa vikapu vyetu vilivyotengenezwa kwa mikono, viti na vipande vingine vilivyotengenezwa na Akhada Baskets.
Kila wakati tunapakia...