Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,111
Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa .
Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu.