Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake...
5 Reactions
6 Replies
159 Views
Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana. 1. Nursing Pillow: Huu ni mto wa kunyonyeshea...
11 Reactions
22 Replies
589 Views
Ni haramu sio haramu? Uharamu wake unatokana na nini? Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali? Je ndio nyama tamu zaidi duniani? Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani? Je ni kweli ndio...
6 Reactions
40 Replies
776 Views
Ni zaidi ya wiki mbili Sasa wakazi wa Utemini, Maendeleo, Relini na Maduka Matatu hatuna maji na hakuna taarifa yeyote kutoka MWAUWASA wanatutesa na bili zinakuja kawaida. Katibu wa wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
  • Redirect
Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hapo kama sio inzi ni mbu au mende kabisa! Lakini mtumishi wa Mungu ameshindwa kumfukuza huyo mdudu badala ya kumuua?
4 Reactions
2 Replies
151 Views
Halmashauri ya wilaya ya Kigamboni ni miongoni mwa halmashauri mzigo sana hapa nchini! Walianzisha mradi chini ya TARURA wa kukarabati barabara ya kuelekea soko na stendi ya Kibada, wakafumua...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Jamaa alikuja akachukua chumba, akakitengeneza mpaka kikaonekana kuwa pale ni Mpesa, ameweka vigae,ndani amepaka rangi nyeupe,nje amepaka red, akamuita mchoraji, mchoraji amechora vizuri tu ila...
2 Reactions
18 Replies
341 Views
Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la...
6 Reactions
25 Replies
385 Views
Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
9 Reactions
6 Replies
247 Views
Warumi 8:31 Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Katika bibilia tunaona kwamba Mungu akiwa upande wako akuna kitu kitakacho kudhuru kwenye maisha...
3 Reactions
7 Replies
293 Views
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake. Awali...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
6 Reactions
46 Replies
748 Views
Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:- "Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini...
18 Reactions
134 Replies
2K Views
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60. Hayo...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kutokana na kuongezeka kwa wimbi kubwa la wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu...Suala la ajira kwa vijana linaonekana kuwa ni ndoto huku wale wallioajiriwa kuendelea kukaa ajirani...
12 Reactions
101 Replies
1K Views
Next level nini, ni kiwango ambacho Mungu anakuinua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine yenye ukubwa na mamlaka. Je ni watu gani Mungu uwainua kuwapeleka next level ya maisha? Wanaitwa...
45 Reactions
134 Replies
3K Views
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa mali nyeti yenye thamani kubwa kuliko hata fedha. Hata hivyo, kwa vijana wengi wahitimu wa vyuo, hususan wanaotafuta ajira au...
2 Reactions
7 Replies
332 Views
Huyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli. So kwa ubaya...
10 Reactions
146 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…