Nimeumia sana baada ya kukutana na mtu ambaye alimbaka mama wa jirani yangu akiwa anakunywa bia bar na mmoja wa ndugu zake. Alifungwa gereza la kingurungundwa mbwenkulu lindi. Leo hii yupo kwetu...
Jamani naomba msaada nina ndugu yangu amenunua ngalawa ya kuvulia samaki ila tatizo ni kwamba hajui jinsi ya kuendesha hicho kifaa. sasa kuna mwenye ujuzi na hiki kifaa anijuze hili nimueleze...
Sheria ya sasa ya pensheni kwa watumishi wa umma kifungu cha 7 kinazuia kodi ya Mapato kukatwa kwa mlipwa pensheni kwa mafao yeyote atakayolipwa. Muswada wa sheria mpya kifungu cha 47(3)...
Mkoa wa Mwanza, umekuwa wa kwanza kitaifa kwa ku-register ukuaji wa kasi wa pato lake kwa mwaka hadi kufikia asilimia 18.9% kwa mwaka 2016 huku ikifuatiwa na Mikoa ya Mtwara - 2.70%; Lindi- 1.96%...
Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 amezindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii.
Moja ya vitu...
Amani kwenu wanajukwaa wote.
Naombeni kuuliza. Kwa mtu aliyepo Moshi, anataka kwenda Runazi/Kabindi then to Biharamulo:
1. By Bus, ni route ya moja kwa moja? au ni lazima kuunga mabus? kama ni...
Habari zenu Wakuu: Nawasilisha JF
Airtel wamekuwa wahuni wameshindwa kutupa huduma kwa wakati, na sasa wametoa huduma ya customer care mwenye Airtel asithibishe kupatikana huduma kwa wateja...
Amani kwenu.
Baada ya kufuatilia mijadala mingi hapa JF.nimengundua kuwa baadhi ya vijana wanaotumia muda mwingi humu,wanaendekeza mambo ya uzushi,fitina,uongo na umbea,
Kijana aliyeenda...
Habarini Wadau,
Ninaomba kujuzwa kuwa sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kuingiza baadhi ya vyakula kutoka Kenya kupitia border ya Namanga.
Ni ruksa kuimport Viazi, chai, Mayai, blue band...
Juzi Jumamosi Kuamkia Jumapili niliota Ndoto ya Maono ya Ajabu sana, sana
Kuna Mwanasiasa ambaye wa aina yake Alikula nyasi, lakini huyu yeye Mungu atamnyanyua Fasta Fasta! Sababu hasa ikiwa...
Shetani huwa hana raha wala furaha kamilifu, na ameshajua hatma yake kuwa ni jehanamu na hana nafasi ya kutubu tena.
Sasa anachokifanya ni kujifariji kuwa sitaingia peke yangu huko jehanamu bali...
Hebu sikiliza minimbo ya siku hizi, yaani hovyo kabisa.
Hamna akili wa ubunifu.
Hebu sikiliza wimbo huu wa mwaka 2000, hadi leo una ladha kwa sababu watunzi walitumia akili nyingi kupata wazo na...
Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda.
Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye...
Tangu nimepata ufahamu sioni kazi wanayoifanya hawa askari wa zimamoto zaidi ya kusababisha na kuchochea majanga pale moto unapowaka sehemu. Kama mnavyojua ajali za moto ni nadra na zikitokea...
Nimemsikia Afisa wa SUMATRA, Dkt Oscar, akilalamika kuwa kuna ulanguzi wa maksudi unafanywa na mawakala wa mabasi Ubungo na akawalaumu abiria kwa kutokutoa ripoti kwao!
Kwangu hiki ni kichekesho...
Kama kuna chochote kilichotrend TZ kuanzia Jan mpaka Dec kiweke apa Tuvote Which is the best
Mi naanza na the best kick of 2017
King of April
King of November
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.
Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha...
Kuna watu wananikera sana hawa ni wale MADEM wanaojizalilisha kwa kupost picha zao wakiwa uchi au nusu uchi mitandaoni hasa Instagram na Facebook.
Nyinyi mnaozuia video kama chura ya Snura hivi...
Hello JF,
leo nimeona katika watu wengi hatunacho,
ni roho ya kusaidia wengine,
kwa mfano,kusaidia wengine ambao wako less privileged,
kielimu,kipesa,maradhi,na compassion,
tuanze sasa...