Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kuwa chini ya utegemezi wa wazazi na uangalizi baada ya kumaliza chuo ni kama kuku aliyefunguliwa bandani akajitafutie chakula umejipangaje? Kurudi nyumbani ukapambanie ugali wa wazazi...
2 Reactions
4 Replies
144 Views
Hii inakuhusu Waziri wa mambo ya ndani, Mkuu wa mkoa Manyara, RPC mkoani Manyara. Kuna baadhi ya Police kama Muhsin, Said na Salum wana tabia ya kupiga makofi na mabuti. Kuna mwingine anafikia...
2 Reactions
1 Replies
147 Views
Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana. Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
Ukipata maumivu, basi uko hai. Lakini kama huhisi maumivu ya wengine, kuna jambo haliko sawa ndani yako ni wakati wa kujitafakari.
3 Reactions
11 Replies
323 Views
Na leo nimenukuu kweli kweli hadi walioko Ghana na Afrika Kusini bila kumsahau Kumnukuu sana Mzanaki Mtanzania mwenzangu.
1 Reactions
5 Replies
107 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Askofu Agapiti Ndorobo wa Jimbo Katoliki la Mahenge Ashindwa kuvumilia wakati Jeneza la Askofu Bernadin Francis Mfumbusa likishushwa Kaburini, Asogea Karibu kumuaga na kumuona kwa Mara ya mwisho...
2 Reactions
15 Replies
380 Views
Ni tukio lililopita ila limeniachia alama kwenye maisha yangu Ni Baada ya kuachana na kazi za utumishi wa umma yaani kazi za kiserikali na kuingia kwenye biashara za mbao na kukua kiuchumi Siku...
2 Reactions
20 Replies
406 Views
Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) akifafanua kuhusu huduma ya afya mkopo kwa Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi aliyetembelea banda la Afya mkopo katika...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
100 Reactions
501 Replies
33K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha ujumbe unaosomeka "Aliyepasulia nazi juu ya kichwa chako anakuletea mchuzi wa nazi ili unywe uone!"
3 Reactions
6 Replies
188 Views
Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
5 Reactions
5 Replies
166 Views
  • Redirect
"Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni...
0 Reactions
– Replies
– Views
"Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy...
0 Reactions
10 Replies
261 Views
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi zote nchini kuhakikisha zinazingatia kikamilifu matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, ikisisitiza kuwa kutokufuata sheria hiyo...
1 Reactions
9 Replies
325 Views
Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge...
2 Reactions
11 Replies
392 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…