Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za asubuhi wanajamvi, Wiki 2 zilizopita nilikuwa nafululiza kwenda hospital ya Muhimbili kumjulia hali mama wa rafiki yangu ambaye kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu amemuita usiku wa jana...
8 Reactions
64 Replies
14K Views
Waandaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited, wamesema kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2017...
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Ni tukio la kigaidi limetokea huko Melbourne Australia. Jerrymsigwa mwanajf mwenzetu anaishi huko tunakuomba bro utujulishe Hali yako tuwe Na amani. Ni muamiaji muafganistani ameparamia waenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekutana na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Ndugu Hashim Rungwe Spunda katika mwendelezo wa kukutana na viongozi wa upinzani wa juu wa vyama vya upinzani nchini. Nafurahi tumekuwa na mazungumzo mazuri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanabodi, Sisi huku mikoani tunaikosa hii habari kwa mapana yake. Nawaomba mlio na data za kutosha mtuambie nini kinaendelea kwani hii kitu ilitokea miaka ile Mh Rais Mkapa akiwa madarakani na ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Huo ujumbe nimeupata sasa hivi walivyo wajinga madai ya nimeshinda alafu namba waliyonitumia ujumbe wa zawadi wametumia voda kutuma zawadi ya Tigo pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Usipojua unapokwenda; kokote unaweza kuelekea na ukaona uko sawa tu. Wapinzani watanzania bado hamjawa na vision na sijui shida nini. Ndio maana mnasubiria Rais au serikali ikisema au kufanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mida waheshimiwa, kuna kitabu nakitafuta (THE UNTETHERED SOUL by Michael Singer) nimeangalia mtandaoni hakiko free ,kinauzwa, nanunuaje hiyo soft copy(sijawahi fanya manunuzi ya aina...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Tushauriane wale tulioguswa na usisitwizwaji wa sadaka katika wakati huu mgumu , mi nilijua wangenipiga maombi mambo yanyooke ila ndo wanazitaka hata hizi ndogo ninazopata
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kama kuna mtu yeyote anayesafiri na private na ina nafasi ya watu wawili kuelekea Arusha na Moshi siku ya ijumaa asubuhi na mapema tuwasiliane tafadhali. Mabasi yamekuwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
MBEYA: Weka booking yako mapema, full AC, comfortable ride.Kama unasafiri nicheki inbox.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao...
0 Reactions
83 Replies
16K Views
Wasalamu wanajamvi wenzangu! Mara baada ya salamu naomba niwasilishe ombi langu kwenu: naomba wale wote wenye kazi zao na ajira zao watushike mkono siye vijana ambao tuko mtaani hatujui kitu cha...
21 Reactions
157 Replies
11K Views
Baada ya kukaa na kutafakari mambo haya nimeona bora niishii bila kuwa na dini kuliko kuwa na dini....... Dini siku hizi zimekuwa ni sehemu za watu kupiga hela yaani viongozi wa dini sina tena...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
Kuna utaratibu umeanzishwa na jeshi la polisi Mirerani ambapo wameweka vizuizi {barrier} kwenye barabara za kuingia na kutoka Mirerani, ambapo askari polisi wakiwa na mitutu ya bunduki...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam wana Jamiiforums: Kama mnavyojua Dodoma kumekucha na mambo siyo haba, serikali imedhamiria kuhamia Dodoma na kwa hakika fursa zimehamia Dodoma. Leo TBC1 wako live kutoka Makutupora Dodoma...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa. Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa...
9 Reactions
261 Replies
23K Views
Hii ndio changamoto unayokumba vijana wengi kwamba kama ukiishi Dar es salaam unaonekana bora kuliko wengine wanaoishi mikoa mingine,sasa nilienda mkoa Fulani kama kawaida mida ya jioni baada ya...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…