Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao. Ummar Khan alikua akisafirisha...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Singapore firm to redesign Arusha City Construction works start next year Slums to give way to high rise buildings By Staff WriterSurbana International Consultants (PTE) this week inked a...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilikuwa nimepata nafasi ya mtoto kwenda Libermann Secondary pale Goba. Kwa wenye uzoefu na hii shule kitabia na malezi ya watoto anisaidie?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Fikiria hilo, nchi ya Tunisia imefuta Safari zote za Shirika la ndege la Emirates, kosa ni Shirika hilo kudhalilisha Wanawake wa nchi yao, yaani Mwanamke wa Tunisia alizuiwa kupanda ndege hiyo...
14 Reactions
56 Replies
5K Views
Said Selemani, Mkazi wa Kebasa, Halmashauri ya Wilaya ya Mji Tarime, mkoani Mara, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa miaka minne na kumsababishia maumivu makali.
0 Reactions
1 Replies
773 Views
CRDB hamjaona siku ya kufanya matengenezo isipokuwa leo sikukuu . Unaenda sehemu unajiaminisha kuwa una pesa unachukua bidhaa na kuhudumiwa kumbe simbanking mfumo hau-operate. Customer service...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya jamani Vodacom wamekataa ushushaji huo lakini taarifa ya kutoa maoni hii hapa kwenye link ya tcra. https://www.tcra.go.tz/images/headlines/MkutanoGharamaZaMainiglianoSimu2017.pdf
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Gazeti la Uwazi la Global Publishers ladai... MAOFISA SERIKALINI TISHIO KWA UTAJIRI NCHINI.. WAANIKWA.. Hiki kichwa cha habari kimewapa kizunguzungu raia, hasa ukichukulia mishahara na posho za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Leo nataka tujuzane sayansi nyepesi ambayo baadhi inaweza kukusaidia na kujitathimini mwenyewe!!! Katika sayansi hii nyepesi nitawajuza sehemu za mwili za nje zinavyoshabihiana na...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Habar wanabodi? Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne! Nikiwa kikazi...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Nimeangalia taarifa ya ITV Leo walifanya coverage ya upande mmoja. Walitoa matukio ya ibada yaliyomsifu na kumbeba Magufuli tu bila kutoa ya upande wa pili. Mfano wa taarifa ya ibada Zanzibar...
20 Reactions
77 Replies
8K Views
Nina jamaa yangu niliemaliza nae chuo 2010 chuo flani sipendi kukitaja, tulipotezana muda mrefu hivi juzi juzi tumeunganishwa na group ls WhatsApp. Sasa Leo naomba kuonana na mimi nimemfuata...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita. Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani sijui mm ndo niko peke yangu 2017 inakatika sioni nilichofanya 'tangible" naomba 2018 usiwe kama 2017 Tushikirishane mliofanikisha malengo yenu.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani imezuia watu wasiokuwa wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho kutumia Viwanja vyake kufanyia mazoezi, Kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaoishi...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Maanake kusema Vyuma Vimekaza imekatazwa basi tuseme Misuli Imebana
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Huwa natamani kujua kama waliosoma hii shule ya kilimo ya kilosa (kizunguzi) kama huwa wapo humu angalau tukumbushane ya enzi hizo, jinsi tulivyokuwa tunalima miraba mpaka basi, na graduation...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…