Usiseme Vyuma Vimekaza 'Sema Misuli Imebana'

Usiseme Vyuma Vimekaza 'Sema Misuli Imebana'

Kila kitu tunatishiwa tz sijui ni ya sisi au ni yake
Ndo hapo mi mwenyew nashindwa kuelewa. Ila ndo mfumo wa kisukuma. Baba mwenye nyumba ndo Mungu. Akisema wengine wote hufwata tu. Sasa anasahau kuw nchi na familia ni vitu 2 tofauti
 
Ndo hapo mi mwenyew nashindwa kuelewa. Ila ndo mfumo wa kisukuma. Baba mwenye nyumba ndo Mungu. Akisema wengine wote hufwata tu. Sasa anasahau kuw nchi na familia ni vitu 2 tofauti
Uyu mtu anaturudisha kwenye utawala wa Nduli IDD Amin Dada
 
VYUMA VIMEKAZA tena VIMEKAZA tena VIMEKAZA nasema VYUMA VIMEKAZA
nipo chumbani kwangu naona mgambo wanakuja, nafkiri ni zamu yao kukusanya kodi leo
 
Nashangaa mnaodai vyuma vimekaza semeni mmeishiwa MBINU kama MBINU bado unazo mbona mambo ni kitonga tuuu
 
Back
Top Bottom