La kufungia mwaka pleaseee!

La kufungia mwaka pleaseee!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,831
Huu uzi unaweza kuwa ndio mfupi kuliko yote hapa J.f kwa mwaka huu utadumu hapa kuanzia saa hizi mpaka saa 0000 usiku wa leo.Naomba wana j.f tupeane neno yaani namaanisha ujumbe wa kufungia mwaka ikiwezekana maneno yasizidi matatu...Ahsanteni.Mie langu hili"MOYO SUKUMA DAMU"
 
Tanzania haiwezi kuwa salama kama wanasiasa hawata tubu dhambi zao.....

Magufuli anatakiwa atubu bila ya kusahau na hawa nao wanahitaji toba.....

ccc1909d2a2b7dbaf569bcaf45f137e5.jpg
 
Vyuma vilainishwe mwakani.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom