"NINAPESA ZIDI YA SERIKALI"

"NINAPESA ZIDI YA SERIKALI"

peter chula

Senior Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
123
Reaction score
68
jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
 
Umefika wakati wa makanisa na misikikiti kutoa taarifa zao za mwaka za fedha kama ilivyo kwa serikali na mabenki na asasi na azaki za kiraia ili kudumisha uwazi.
 
Jibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
 
Jibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
serikali haina dini!so kauli yake itabidi aitolee ufafanuzi vizury!kua anapesa kuliko serikali!ikibidi kuchunguzwa!
 
Jibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
huu ni utetezi wa hovyo kabisa
 
[HASHTAG]#PombeAkatubuMadhambi[/HASHTAG]

Ndugu toba inawahitaji watu wengi sana....wanasiasa wote wanahitaji toba....

Akimaliza kutubu uchwara natumaini na hawa nao watatubu dhambi zao....

1ce80bda6c253269a4d0467069787fc2.jpg
 
"NINA PESA ZAIDI YA SERIKALI"uandishi wenu wa kikasuku sijui utaisha lini kizazi hiki kilichopotoka nitakaa nanyi hata lini??
 
Lakin kuna serikali nyingi,labda alisema kumaanisha serikali ya wanafunzi Wa udsm
 
jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
Dogo Chula jishughulishe na mambo yako, politics huiwezi yaani hata uandishi wako sio wa degree

Vp lakini uko swax au wapi
 
Back
Top Bottom