TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,450
- 31,562
Kaka na dada wakuu
Kwa vijitabia hivi hawa watu bado wapo mwaka 2017 na wanahitaji toba ili waweze kuingia mwaka 2018.
Tuanze kuwekana sawa sasa..
Binafsi wale wote ambao hawajaacha michepuko bado wapo 2017 na wanahitaji kutubu ili wavuke kuingia 2018.
Tiririkeni sasa niwaone