Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Habari za asubuhi wakuu......na Heri ya Mwaka Mpya 2018.
Kama Uzi unavyojieleza hapo juu wale ambao mmeanza mwaka vibaya tuseme kwanini tumeanza mwaka Vibaya ili tujue namna ya kuendelea Salama mwaka huu wa utimirifu kwenye kila jambo
Naanza mwenyewe mimi mwaka huu kwa upande wangu nimeanza vibaya kwasababu Hali ya Kiuchumi ni mbaya sana yaani naukumbuka mwaka 2015-2016 natamani siku zirudi nyuma japo najua siku hazigandi.
Imebaki story tu......[emoji36] [emoji95]