Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu asubuhi ni scanning in progress Searching for signal......... Nini tatizo wakati tunawalipa? Ina maana mnashindwa kuboresha mitambo yenu? Hamjui kuwa hakuna fidia kwa muda uliopita bila...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Wakati serikali ukijitahidi kuondoa kero katika jamii, kituo cha polisi kati Mwanza kimekuwa kero kwa kuziba njia ambayo imekuwa ikitumiwa na wasafiri wanaotumia meli ziendazo Bukoba na Ukerewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda , Leo amehaidi Kuijengea Nyumba ya Vyumba Vinne (4) Familia ya Mwandishi (mpiga picha) wa Magazeti ya Serikali TSN wanaochapisha Magazeti ya Habari...
10 Reactions
103 Replies
13K Views
Nchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo. Ni nchi gani hiyo katika Africa?
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa ufupi Mkazi wa Ilala Bungoni, Dar es Salaam, Richard Mrutu alisema kushuka kwa usajili katika shule binafsi kumetokana na kuimarika kwa hali ya elimu katika shule za Serikali ikilinganishwa na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Shirika la Stemm ambalo lilitoa msaada wa kuwatibu mtoto Shadia,Doreen,na Wilson nchini Marekani walionusurika katika ajali iliyouwa wanafunzi 32 dereva pamoja na walimu 2 wa shule ya Luckvicent...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wana Jf! Napenda kujua habari zao,namna walivyofanya,walivyotendewa,sioni wakisikika tena,hivi wako wapi? wanafanya nini? Mustakabali wao wa maisha ya siasa,na Ulimboka Taaluma yake ya...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nasikitika kwajulisha msiba wa Dr Agustino Goodman,uliotokea nyumbani kwake segerea juzi usiku,mazishi yanatarajiwa kufanyika Hapo Hapo nyumbani kwake jumatatu Kwa kifupi Dr Goodman alikuwa...
11 Reactions
45 Replies
9K Views
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu salama, Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya...
8 Reactions
330 Replies
71K Views
Eee Mwenyezi Mungu asante sana kwa siku ya leo. Usiku huu tunajikabidhi kwako, tunalikabidhi Taifa letu la TANZANIA kwako, na pia tunamkabidhi kwako Rais wetu mpendwa Mh John Pombe Magufuli...
0 Reactions
3 Replies
739 Views
wakuu habari z saiz naomba msaada kidogo . kuhusu sheria za kazi..mdogo wangu kike anafanya kazi serikalini yeye ni lecture chuo fulani. kenda masomoni akaawa unapewa mshahara wake kamili kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Abdul Nondo,ameshinda uchaguzi uliofanyika leo na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa mtandao wa kutetea wanafunzi Tanzania( TSNP.) baada ya kupata kura 49 za NDIO dhidi ya 1 ya HAPANA
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara. Kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana jf Leo nilikuwa naangalia habar za michezo nikamkumbuka hemed kivuyo mzee wa vionjo vionjo Ila kwa sikuhz za karibuni sijamsikia na wala sijamuona itv na mm ni mtamaji pendwa wa itv...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Najua wenzangu na mimi wengi tulikuwa na matumaini sanaa na huyu tumuitaye baba la mitandao bongo (Airtel), Tulisifia sanaaa kwa service zao nzuri katika package zao. Hali si hali...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
habari wana jukwaa Wakati tukiuanza mwaka mpya si vibaya tukijikumbusha nyuzi na mada zilizokuwa hot mwaka uliopita. kwa maoni yangu nilitegemea Mods atuletee mchanganuo bora zaidi. Kwa upande...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ule mchezo wa kishamba wa waajiriwa wa jeshi la polisi nchini Tanzania wa kudhalilisha Raia wasio na hatia umeendelea tena bila wasiwasi wowote. Taarifa zinaonyesha kwamba Ofisa mmoja wa Jeshi la...
14 Reactions
179 Replies
28K Views
Habari za weekend wanaJF, natumaini mu wazima na wenye afya tele. Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuhisiwa kupotea katika mazingira tatanishi naamini wengi wetu humu mmeshawea kukutana na baadhi...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Malori kadhaa yamekua yakibeba mchanga huku yakisaidiwa na vijiko vinavyoaminika toka Manispaa. Mh Makonda ukifika karibu na huu mto kuna Bar moja wanaita kwa Mangi hii bar iko busy masaa 12 watu...
2 Reactions
2 Replies
943 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…