Mtambo huu unafanya kazi kwa style ya kupanga magari kama mtu anavyopanga vitabu kwenye makabati ya maktaba. Infact eneo linalotumika kupaki magari 20 sasa linaweza kutumika kupaki magari 500 na...
Habarini za wakati huu wana JF..,poleni saana na majukumu ya kimaisha n.k
Kabla sijaendelea na hichi ninachotaka kusema kwanza ninaomba niseme kwamba maisha ya karne hii ya sasa yanatupelekea...
Habari WanaJF,
Viroba vya mchanga vilivyowekwa ndani ya magunia ya korosho ili kuongeza uzito tayari kwenda kuuzwa nje ya nchi vyabainika katika ghala moja Mkoani Lindi
Udanganyifu huo unadaiwa...
Si kila jambo, linafaa kuhukumiwa na akili kama ingewezekana kuweka mipaka katika akili, basi lingekuwa jambo la mwanzo katika maisha ya binaadamu
lakini kila mmoja wetu ameachiwa huru katika...
Wasalaam Wana JF
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Jemedari na Mzalendo namba moja Dkt John Pombe Magufuli imeamua kutekeleza kwa vitendo ilani yake ya uchaguzi ya nwaka 2015 hususani...
Kuna mtu mmoja anajiita nabii Tito. Huyu bwana amekuwa akitoa mafundisho ya kidini kwa kutumia biblia takatifu. Ubaya wa huyu mtu unatokana na ujinga wa wakristo wa siku hizi ambao wamewaachia...
leo asubuhi njia zote zinazopita karibu na ikulu zimefungwa ikiwamo ile ya kupitia ocean road cancer institute, kupitia nyuma ya ikulu, pia parking zote karibu na ikulu ikiwamo chuo cha utumishi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka wizara, taasisi za Serikali na vyombo vyote vya umma kupima maeneo yao na kuyawekea alama za mipaka kuepusha uvamizi...
Siku mbili baada ya kukamatwa na polisi kwa mahojiano kwa Tito Machibya, maarufu Nabii Tito, anadaiwa kujaribu kujiua kwa kujikata na wembe tumboni na kushonwa nyuzi 25.
Nabii Tito alikamatwa na...
Siku chache zilizopita kumekuwa na habari inayovuma sana mtandaoni kuhusu meya wa manispaa ya iringa ndugu Alex kimbe kupigiwa simu na ndugu Michael Mlowe kumshawishi ahame kutoka CHADEMA kwenda...
Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu Babu wa Loliondo aliyehudumia maelfu ya watu ndani na nje ya nchi kwa dawa aliyoitoa kwa kipimo cha kikombe amedai ameoteshwa kuwa umati utarudi kijijini...
Kwa kawaida hakuna Mtu ambaye hapendi kuishi maisha marefu lakini tu watu hawajui ni namna gani ya kufanya ili wayaishi hayo maisha marefu mpaka waseme ahsante MUNGU sasa waweza kutimiza mapenzi...
Tanzania vijana wote tunaomba tuungane na tushilikiane kuiomba serikali yetu tukufu kufatilia kwa umakini na kwa hali ya kujiridhisha na hizi betting nchini
Watu wanaibiwa sana na ni utapeli...
Kumekua na vipindi vingi katika TV na Radio station mbali mbali,
Tukiongelea zaidi Media kubwa kubwa unahisi ni kipindi cha aina gani kwa sasa kikianzishwa kitateka watu wengi, kiwe kipindi cha...
Sijajua tatizo linakuwa nini unakuta watu katika familia moja na ndugu wa karibu tuu
Unakuta hapendi kuona ndugu yake akipata mafanikio yaani anapenda kuona ndugu yake maisha yake abakie hivyo...
SOMA NA UTIE AKILINI
1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na WATU WENGINE.
2. Jina lako umepewa na WATU WENGINE.
3. Umepata elimu kutoka kwa WATU WENGINE.
4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa...
Habari za mchana wana jf.
Baadhi ya wavulana na wanaume wamekuwa na tabia ya kuwa gegeda watoto wa wenzao wana wachafua ukeni kuna haribika wangali wabichi kutokana na mimbegu yao yenye UTI na...