Wasaka Kiki kwa nguvu.

Wasaka Kiki kwa nguvu.

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
515
1-----Harmorapa
2----- Dr shika
3-----Nabii Tito
4-----
5-----
6-----
7-----
8-----
9-----
10----
bf437d7b7f417343f986eda5e9d70332.jpg
Unahisi nani anatakiwa kuongezwa katika list hii?
 
1 na 2 hazina mpinzani. Wengine was ziende 3 na kuendelea.
Ilifika mahali ilikuwa ni kuchagua rangi ya Noah. Sasa hata hizo baiskeli Itakuwa muujiza mkubwa.
 
1-----Harmorapa
2----- Dr shika
3-----Nabii Tito
4-----
5-----
6-----
7-----
8-----
9-----
10----
bf437d7b7f417343f986eda5e9d70332.jpg
Unahisi nani anatakiwa kuongezwa katika list hii?
Mkuu hao uliowataja ni zao la jamii ya hovyo.. yani sisi kama watanzania ni watu wa hovyo hovyo. Iv huyo nabii nani tito alianza kusikika jana? Rpc mzima anaacha.kushghulika na mambo ya maana anashughlila shika au tito?.
 
Mkuu optimiatic bourgeoisie hao watu unaowataja sipati picha wakija. Hasa uyo Conor 1
 
Mkuu hao uliowataja ni zao la jamii ya hovyo.. yani sisi kama watanzania ni watu wa hovyo hovyo. Iv huyo nabii nani tito alianza kusikika jana? Rpc mzima anaacha.kushghulika na mambo ya maana anashughlila shika au tito?.
Uyo Tito kusema kweli hata Mimi sijui hata nini kipo akilini mwake kama ndio jinsi anavyoamini au anatumiwa na watu au ndio akili yake inadosari kama inavyosadikika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom