Naomba maoni yako katika kuanzisha kipindi cha radio au runinga

remy_official

Member
Apr 13, 2017
27
14
Kumekua na vipindi vingi katika TV na Radio station mbali mbali,

Tukiongelea zaidi Media kubwa kubwa unahisi ni kipindi cha aina gani kwa sasa kikianzishwa kitateka watu wengi, kiwe kipindi cha kueleimisha na kuburudisha pia chaweza kuhusiana na kitu chochote kama siasa, michezo na entertainment

Pia kiwe kipindi ambacho hakijawahi fanyika ama kishafanyika lakini hakikupata kipaumbele.

Maoni yako tafadhari
 
Kuna kipindi cha michezo ambacho ni rahisi sana kurekedi na nadhani kitapata mashabiki. Mashindano ya draft, pool au watu kusimulia vichekesho au visa vya uswazi vyenye msisimko. Bado nitakuja na suggestion nyingine nzuri sana.
 
asante sana
 
Mawazo yangu ni pesa tayari, uko tayari kunilipa. Ninaweza hata kukuuzia kipindi kikiwa na kila kitu.
 
Back
Top Bottom