Nimeshinda iPhone X kwenye Google Mail....

Nimeshinda iPhone X kwenye Google Mail....

upo ulimwengu upi ndugu?????????


yaani karne hii unataka kuibiwa kizembe na hii..

yaani ushinde Iphone x kwa kazi ipi uliyofanya?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sasa tuma hiyo dola moja uone wajanja wanavyoanza kudukua account yako ya benki..

tuache kupenda mtelezo tufanye kazii..
 
Mkuu ngoja nikupe siri moja.
Kama hujafanya kazi ya kukuingizia kipato usitegemee hela ya bure...la sivyo utakuwa ni mtego.

Au kama hujacheza bahati nasibu inayoeleweka kama vile kubet au 3mzuka usitegemee kushinda kitu chochote.

Wewe mwenyewe tumia common sense hivi unaweza kushinda kitu ambacho hujashindania??

Ukiibiwa usisahau kuleta mrejesho ili iwe fundisho kwa wengine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaliwa we ilo nili adds tu lipo google toka zaman nalipitaga tu angalia jombaaaaa
 
Hiyo kitu hata mimi imenitokea kuwa nimeshinda ila ni kwenye google chrome.ila nahisi ni uongo tu,haiwezekani iphone X kuuzwa kwa 1$
 
Embu tumia akili google na iphone wap na wap yaan google wakupe iphone ya apple waache Google pixel 2 yakwao iyo ni sawa na siku ya serehe pepsi wangize soda bonite, ww changia vidume hiyo dola moja kweli WAJINGA NDO _ _ _ _ (malizia mwenyewe)
 
Ivi bado mpo..?nilijua akili zimetukaa sawa wote [emoji23][emoji23]
 
Embu tumia akili google na iphone wap na wap yaan google wakupe iphone ya apple waache Google pixel 2 yakwao iyo ni sawa na siku ya serehe pepsi wangize soda bonite, ww changia vidume hiyo dola moja kweli WAJINGA NDO _ _ _ _ (malizia mwenyewe)

Ni sawa na Toyota kukupa zawadi ya Nissan...shabash!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom