Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwalimu Nyerere 1967 *"Mahesabu ya kugawanya ukiyafundisha darasani ni* *rahisi sana na nyie Waalimu mnaelewa!* *Mfano unafundisha kwamba Arobaini gawanya kwa tano ni sawa sawa na nane very...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye ufaulu wa Civix C Kisw C Geog C Eng D Hist C Bios C Chem C Math F Phsx F Naweza kupata coz ya afya
0 Reactions
8 Replies
849 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Godwin Ngwilimi amepongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza matarajio ya watanzania.Ngwilimi ametoa kauli hiyo leo Februari mosi jijini...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani MTU hata kupaka kiwi viatu hawezi Kunyoosha Nguo hawezi hata zake tuu hawezi Kutandika kitanda hawezi, anaamka SAA mbili anaacha hivyo hivyo! Kufyeka Majani hawezi hawezi Kumwagilia maua...
6 Reactions
171 Replies
11K Views
Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki, Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu nahitaji msaada wa haraka maana mpaka kufikia hivi sasa nishapiga watu 6 hii ni kwa Leo tu sikwambii siku zilizopita. Mjumbe wa Nyumba kumi Leo kazingua a fire hivi yuko Amana kwa matibabu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Unaweza kusema uzinduzi wa hati ya kielektroniki ya kusafiria uliofanywa jana na Rais John Magufuli umeibua mambo 10. Baadhi ya mambo hayo yalizungumzwa na kiongozi huyo mkuu wa nchi katika hotuba...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hoja binafsi, kwa kuwa wabunge wa Tanzania ni sehemu ya raia wa Tanzania na ambao kimsingi ni sehemu ya watumishi wa umma, na kwa kuwa mimi ni raia wa Tanzania ambaye nina uhuru wa maoni...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU KIDATO CHA NNE.. SAA 12 asubuhi. BABA;- baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo.. MTOTO;- Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 jana nilichelewa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Najaribu kuangalia social-economic impact kati ya uwekezaji kwenye Bombardiers na vitu kama Chato International Airport na uwekezaji mbadala ambao ungefanyika kwenye elimu!! Sitaki kuwa mnafiki...
15 Reactions
69 Replies
8K Views
Wasalaam TBC wanakuletea matangazo ya moja kwa moja muda huu kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria nchini. Mgeni rasmi ni Rais wetu na Mzalendo nambari nchini Dkt John Pombe Magufuli. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
854 Views
I had a dream...of the zebra crossing rule coming into effect in Arusha. The new road from phillips all the way to Arusha Meat would have about dozens of traffic officers read to stop and fine...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Maulid Kitenge: Mwisho wa matumizi ya hati za kusafiria za zamani ni Jan 2020. Baada ya hapo zitatumika 'passport' za kielektroniki ambazo zimezinduliwa leo. Waziri wa Mambo ya ndani Dkt Mwigulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amri ya kwanza ya mwanamke ni utii, ya pili ni utii, ya tatu ni utii! Amri kuu ya mwanaume ni kuwa na akili ya kuishi na mwanamke. Ukikosa hivyo usithubutu kuingia kwny ndoa!
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Kupenda sikizote Ni moyo .moyo ndio unaamua upende wapi. Miaka kama miwili nimejikuta kuichukia sana Tanzania sijui kama tatizo Ni LA nchi au nilangu binafsi hilo bado natafakari mpaka Leo...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wana Jamiiforums! Kuna watu huwa wapole mafala wajinga hohehahe na wasio elewa lolote lakini ni hatari sana katika gurudumu la mafanikio yako. Walalamike au wasilalamike bali utapata tabu...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wakulima wa mikoa inayozalisha mahindi kwa wingi wamedai kuvunjwa moyo na vitendo vya serikali kupiga marufuku kuuza mahindi nje ya nchi, jambo lililopelekea bei za mahindi kuanguka. Wakati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mikoa ya Burundi inayo pakana na eneo la Fizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inaenedelea kuwapokea wakimbizi wanao yatoroka mapambano kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanaume wa Dar au yeyote tokea mikoani naomba utoe wazo nini kifanyike naona haya matangazo yamekuwa mengi sana mpaka kero na ndio yanayotupa picha kuwa wanaume wa Dar hatupo fiti...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…