Msaada: Siku hizi nimekuwa mkali ghafla

Msaada: Siku hizi nimekuwa mkali ghafla

Infiltrator

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
211
Reaction score
339
Ndugu nahitaji msaada wa haraka maana mpaka kufikia hivi sasa nishapiga watu 6 hii ni kwa Leo tu sikwambii siku zilizopita.

Mjumbe wa Nyumba kumi Leo kazingua a fire hivi yuko Amana kwa matibabu zaidi.

Msaada wa haraka namna ya kucontrol hii hali.

NB: Mawaidha na kufukuza mapepo sihitaji maana huenda mchungaji nikamuwashia vilevile
 
Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?

Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae.
 
utakuwa mpole siku ukikutana na nunda wa kukupa visago vya maana!
 
Ndugu nahitaji msaada wa haraka maana mpaka kufikia hivi sasa nishapiga watu 6 hii ni kwa Leo tu sikwambii siku zilizopita..
Mjumbe wa Nyumba kumi Leo kazingua a fire hivi yuko Amana kwa matibabu zaidi..
Msaada wa haraka namna ya kucontrol hii hali...
Nb: Mawaidha na kufukuza mapepo sihitaji maana huenda mchungaji nikamuwashia vilevile
Update: Hivi punde nimetoka kumpiga wife...Tafadhali nahitaji msaada wa haraka sifurahii hali sana
 
Tusaidie kurudisha hii bombadia basi tumia ukali wako kwa manufaa ya umma

Screenshot_2018-01-31-21-38-33.png
 
Mkuu inawezekana ni nyege,hata mimi kuna kipindi hivi vibuyu vyangu vya huku chini vilijaa nikapatwa na hiyo hali ghafla!!
 
Ni effect ya vyuma kukaza mkuu. Endelea kupambana utakua poa
 
Ndugu nahitaji msaada wa haraka maana mpaka kufikia hivi sasa nishapiga watu 6 hii ni kwa Leo tu sikwambii siku zilizopita..
Mjumbe wa Nyumba kumi Leo kazingua a fire hivi yuko Amana kwa matibabu zaidi..
Msaada wa haraka namna ya kucontrol hii hali...
Nb: Mawaidha na kufukuza mapepo sihitaji maana huenda mchungaji nikamuwashia vilevile
Fikiria mwisho wa matendo yako, pengine utakuwa na subira ya kuchukua sheria mikononi mwako.
 
Back
Top Bottom