Mwalimu NYERERE na mahesabu ya kugawanya

Mwalimu NYERERE na mahesabu ya kugawanya

red fox

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
127
Reaction score
342
Mwalimu Nyerere 1967

*"Mahesabu ya kugawanya ukiyafundisha darasani ni* *rahisi sana na nyie Waalimu mnaelewa!*

*Mfano unafundisha kwamba Arobaini gawanya kwa tano ni sawa sawa na nane very simple na mtaelewana na Wanafunzi kabisa darasani*

*Lakini hesabu hiyo hiyo ipeleke kwenye familia kivitendo, itakuwa balaaa.*

*Mfano, mama ameleta mayai 40 ampe mtoto mkubwa agawane na watoto wenzake watano itakuwa ni balaaa kabisa.*

*Utaondoa amani ya familia maana Lijitu limoja kwa uroho tu litataka kuyachukua mayai yote 40 na kuwanyima wenzake! Na kuvunja amani ya familia......."*

*"Msingi wa Amani ni Haki.............."*


*"Vivyo hivyo na resources za nchi,* *zinatakiwa zigawanywe sawia ingawa* *haiwezi kuwa sawa kabisa* *lakini at least watu wakaribiane, kusiwe na* *Matajiri sana na wengine* *mafukara* *kabisa!!!!!!*........"

*"Mtu mmoja akaniambia Mwalimu unataka watu waishi kama Malaika, nikamuambia la hashaa wasiishi kama Malaika maana wao ni binadamu lakini wasiishi kama Mashetani pia!!.............."*

Mwalimu Julius K Nyerere (R.I.P)
Tarehe 19/07/1967
Bukoba Mjini Akiongea na Waalimu
 
Back
Top Bottom