Hii barabara wenzangu na mimi wa koromije lazima tupotee tunakoenda..... au google map itoe msaada![]()
Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki,
Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukikosea kidogo unaweza kujikuta umerudi ulikotokaPale tuu kigamboni huwa najikuta nimetokea mahali tofauti na nilipokusudia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale tuu kigamboni huwa najikuta nimetokea mahali tofauti na nilipokusudia.
Hapa lazima nipotee na nilivozoea double road[emoji23][emoji23]![]()
Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki,
Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.