Wabunge Nao Wasubiri Miaka 60 Kuchukua Mafao yao

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
Hoja binafsi, kwa kuwa wabunge wa Tanzania ni sehemu ya raia wa Tanzania na ambao kimsingi ni sehemu ya watumishi wa umma, na kwa kuwa mimi ni raia wa Tanzania ambaye nina uhuru wa maoni, napendekeza utaratibu mpya uanze wa wabunge kulipwa mafao yao pale wanapofikisha umri wa kustaafu wa miaka 55 au 60. Hii itasaidia kukomesha kauli kama vile...'duniani kote hakuna fao la kujitoa'...

Ninashangaa sana kumsikia waziri au mbunge anasema kuwa duniani kote hakuna fao la kujitoa, wakati yeye akimaliza muda wake wa miaka mitano, anachukua mafao yake yote.

Naombeni ushauri wa kisheria ni namna gani hili jambo tulipiganie sisi kama waathirika na wahanga wakubwa wa hili la fao la kujitoa. Ninawahakikishia kuleta mapinduzi ya kifikra kwa kupitia jambo hili mkinipa muongozo na ushauri mzuri wa kisheria.

Nawasilisha.
 
BOSS Ushauri wangu ni wewe kugombea Ubunge
 
Hahahaha wasingeipitisha, Wabunge wa CCM akili zao wanazijua wao wenyewe tu
 
BOSS Ushauri wangu ni wewe kugombea Ubunge
Hapana, sijawahi kufikiria huko. Na si mfuasi wa siasa bali mfuatiliaji wa siasa. Nina hakika ipo namna ya kuleta mabadiliko kisheria nje ya bunge.
 
Boss ukiwa ndani ya Bunge ni vizuri sana kwa kuwa tumewachia wabunge kina Msukuma ndio matokeo yake
mswaada unapita kwa NDIOOOOOOOOOOOOO NYINGI SANA
 
Fao la kujitoa ni muhimu liwepo maana wafanyakazi wanategemea ndio akiba yao baada ya kuwa nje ya ajira bado serikali hii inabana eti mpaka miaka 60 huu ni uonevu mkubwa sana eti mtu afe njaa akisubiri kufikisha miaka 60! Kwa nini kwa suala hili wabunge wasiungane kindakindaki kuhakikisha wanaibana serikali mpaka ikubali kuwepo kwa FAO la Kujitoa? Wito wangu naomba serikali irudie kutafakuri mpya kuhusu kuwepo kwa FAO la kijitoa waache kutesa vijana wanaotegemea fao hilo kama mtaji wao baada ya kuwa nje ya ajira.
 
Hoja binafsi, kwa kuwa wabunge wa Tanzania ni sehemu ya raia wa Tanzania na ambao kimsingi ni sehemu ya watumishi wa umma, na kwa kuwa mimi ni raia wa Tanzania ambaye nina uhuru wa maoni, napendekeza utaratibu mpya uanze wa wabunge kulipwa mafao yao pale wanapofikisha umri wa kustaafu wa miaka 55 au 60. Hii itasaidia kukomesha kauli kama vile...'duniani kote hakuna fao la kujitoa'...

Ninashangaa sana kumsikia waziri au mbunge anasema kuwa duniani kote hakuna fao la kujitoa, wakati yeye akimaliza muda wake wa miaka mitano, anachukua mafao yake yote.

Naombeni ushauri wa kisheria ni namna gani hili jambo tulipiganie sisi kama waathirika na wahanga wakubwa wa hili la fao la kujitoa. Ninawahakikishia kuleta mapinduzi ya kifikra kwa kupitia jambo hili mkinipa muongozo na ushauri mzuri wa kisheria.

Nawasilisha.

Huwa wanahongwa kuongea vile, tatizo letu wafanyakazi hatuna mtetezi, vyma ndio hivyo wamehonga viongozi wamekuwa kama mbwa koko tu, wabunge wao wana mafao yao , watakujali wewe. Sisi tumekalia kushabikia vyama tu kijinga wakati wana siasa na wengine wote wanaangalia maslahi yao. Fuatilia wanasiasa wote huwa wanahakikisha mafao yao hayaguswi na kodi wala nini.
Mikopo nafuu na kila kitu ni wao... sisi kazi kushangilia tu.
 
wabunge wa Ccm asilimia 90% wameshafikisha miaka 60+
Ndo maana unawaona awana hofu.
yakupigania FAO la kujitoa.
 
Hoja binafsi, kwa kuwa wabunge wa Tanzania ni sehemu ya raia wa Tanzania na ambao kimsingi ni sehemu ya watumishi wa umma, na kwa kuwa mimi ni raia wa Tanzania ambaye nina uhuru wa maoni, napendekeza utaratibu mpya uanze wa wabunge kulipwa mafao yao pale wanapofikisha umri wa kustaafu wa miaka 55 au 60. Hii itasaidia kukomesha kauli kama vile...'duniani kote hakuna fao la kujitoa'...

Ninashangaa sana kumsikia waziri au mbunge anasema kuwa duniani kote hakuna fao la kujitoa, wakati yeye akimaliza muda wake wa miaka mitano, anachukua mafao yake yote.

Naombeni ushauri wa kisheria ni namna gani hili jambo tulipiganie sisi kama waathirika na wahanga wakubwa wa hili la fao la kujitoa. Ninawahakikishia kuleta mapinduzi ya kifikra kwa kupitia jambo hili mkinipa muongozo na ushauri mzuri wa kisheria.

Nawasilisha.
Dah....Tanzania kuna watu aina 3...... Wanasiasa....wanausalama....na raia[emoji87]
 
Sheria ni msumeno. Nao wanatakiwa kufikisha miaka 60 ndiyo wachukue mpunga.
 
Watumishi wa umma wakiwemo wabunge na mawaziri, umri wao usizidi miaka 60, ona makonda gambo mavunde shonza kigwa wanavyopiga kazi,

pia upinzani ona mdee sugu zitto msigwa bulaya wanavyokomaa hadi raha,

hivi vibabu vinapaswa kupumzika kwa kweli, 2020 vijana tokeni maofisini ingieni kwenye uchaguzi msiwachie akina musukuma nchi, ona sasa mambo yanavyozidi kuharibika.
 
Back
Top Bottom