Bodi ya mishahara kwa watumishi wa Umma waangalieni watumishi wapya

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Habari wakuu.

Tunawashukuru bodi ya MISHAHARA kwa kuwa suala la mishahara kwa WATUMISHI wapya limeanza kufanyiwa kazi baadhi wamepokea salary ila si wote.

Ninachoomba ni chonde chonde wapatieni WATUMISHI wote MISHAHARA kwa wakati.

Natanguliza shukrani
 
Haiingii akilini wengine wapate wengine wakose.MTU anamuuliza Afisa utymishi eti anamjibu hilo swqla liko nje ya uwezo wangu kweli hii ni haki jamani
 
Istoshe yuko kijijini mbali na mjini hana HATA nauli ya kwenda mjini huku nyuma mizigo ya madeni inamuandama kweli Tanzania yangu badilika
 
Habari wakuu.

Tunawashukuru bodi ya MISHAHARA kwa kuwa suala la mishahara kwa WATUMISHI wapya limeanza kufanyiwa kazi baadhi wamepokea salary ila si wote.

Ninachoomba ni chonde chonde wapatieni WATUMISHI wote MISHAHARA kwa wakati.

Natanguliza shukrani
Nadhani unachanganya majukum ya bodi na waajiri waliopo. Nijuacho, bodi kazi yao kubwa ni kupitia mishahara ya watumishi wote, kwa kuzingatia sifa zao na kutoa mapendekezo ya mishahara ili isitofautiane kisa idara za kazi.

Bado wanafanyia kazi miundo ya mishahara, hawajamaliza
 
Wanafanyia kazi kivip mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom