Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imagine unamkopesha mtu pesa million 10, anaahidi kukurejeshea katika mda mliokubaliana. Mda wa kukurejeshea unafika anakupotezea, unahangaika kumsumbua anakujibu jeuri unanyamaza miezi ukijua...
13 Reactions
163 Replies
17K Views
jaman mie nina ndugu yangu aanastaafu disemba 2018 naomba kujua kama atalipwa kwa mfumo wa zaman au ndo atalipwa kwa mfumo mpya? maana nimeambiwa formula mpya mtu atalipwa just 38% tu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tupeane experience ya mizinga huko mitaani na jinsi ya kuongeza ufundi wa kujificha kukwepa mizinga Nawasilisha
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Salama lakini? Binafsi nilitokea kumpenda sana Huyu dkt Slaa kipindi kile akiwa mwana siasa. Hii ilichagizwa na Siasa zake na uwakilishaji wake wa Hoja zenye tafiti. Napenda sana mtu wa data...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hawa ndio wababe wa mathematics miaka yote. 1.Karl Friedrich Gauss(1777-1855) 2.Isaac Newton (1642-1727) 3.Archimedes of Samos(287-212B.C) 4.Pythagoras(567-500B.C) 5.Girolamo Cardan(1501-1576)...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
WANANCHI wa Kata ya Inyeze wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamelalamika kwa diwani wa kata hiyo kwa kuvamiwa na kundi kubwa la fisi kijijini.Hayo yamesemwa katika kikao cha baraza la madiwani na...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa, Bila kupoteza muda huu ndio ukweli, usimdharau mtu... 01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.[emoji117] Wale...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakika matarajio ya watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kuwa ni mkombozi kwa watumiaji wa mabasi yametoweka kutoka na utendaji usioridhisha wa Kampuni hiyo. Mabasi yamekuwa yanajaza abiria kupita...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Watu watatu wameuawa katika matukio tofauti likiwamo la wanawake wawili kuuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina. Tukio la kuuawa wanawake hao lilitokea usiku wa kuamkia jana...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu nifundisheni kanuni, skills au mbinu za kuchora kitu chochote Mf. Picha ya mwanamke mzuri, Picha za wanyama kama tembo, vitu kama nyumba na miti. Nitafurahi san nikiwez kuchora...
2 Reactions
29 Replies
15K Views
Commissioner wa TRA aliagiza kupitia vyombo vya habari kwenda kuchunguza ili kujua kanisa la FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP -lina miradi au Askofu Mkuu Zachary Kakobe kama ana miradi binafsi...
2 Reactions
136 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Kuna mzee katika maongezi yetu aligusia swala kwamba miaka ya nyuma vijana walikuwa wakakamavu kutokana na chakula walichokuwa wanakula sio kama wa miaka ya...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Kama mada inavyojieleza, shule ya sekondari Miono iliyoko wilaya ya Bagamoyo na ambayo ni ya wanafunzi wa A-level tu, wasichana na wavulana, na wote wakikaa bweni, haina maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.jukwaa la sheria 2.jukwaa la uganda news 3.jukwaa la mapishi 4.jukwaa kimataifa 5.jukwaa la chitchat haya majukwaa hayana wachangiaji kabisa,hasa jukwaa la sheria. hii ni ishara kuwa watu...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
"Men spend almost a year of their lives staring at women, a survey found." nazani kwa upande wetu wabongo tunatumia zaidi ya miaka kuzitolea macho zawadi pendwa haha..
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akishiriki katika zoezi la uokoaji watu 3 ambao wamefukiwa kwenye mgodi Nyakavangala uliopo katika Tarafa ya Isimani. > Mashimo 7 yameporomoka zaidi ya watu 82...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
*HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE* 1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.* 2. Jina lako umepewa na *watu wengine.* 3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.* 4. Kipato...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
There is a talk about the changes in the Social Security policies in Tanzania.One key issue is whether to allow withdrawal of funds should be allowed from social security fund which is popularly...
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Wakati bunge likiendelea mjini Dodoma sijasikia swali kuhusu bunge kutekeleza jukumu lake la kulipia matibabu ya mbunge Tundu Lissu anae tibiwa huko Belgium. Hivi ni woga wa wabunge ama ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilianza na vitambulisho vya taifa,imekuja laini za simu kielektronic,sasa hata passport za east afrika ni kielectronic! naanza kucconnect dots na ujio wa jasusi mbobezi kagame! kuzimwa uhuru wa...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…