Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,904
- 9,832
Habari wanajukwaa,
Bila kupoteza muda huu ndio ukweli, usimdharau mtu...
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.
04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha.
05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
Tuishi kwa kuheshimiana, mahali penyewe Pana heshima huwepo upendo na penyewe Pana upendo yako mafanikio!
Kila la kheri!