Top five ya majukwaa "doro" humu jamii forums.

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,898
2,000
1.jukwaa la sheria
2.jukwaa la uganda news
3.jukwaa la mapishi
4.jukwaa kimataifa
5.jukwaa la chitchat

haya majukwaa hayana wachangiaji kabisa,hasa jukwaa la sheria.

hii ni ishara kuwa watu wengi hatupendi kujifunza sheria...huko unaweza uliza kitu leo ukajibiwa baada ya siku 5.

ongezeni top five ya majukwaa active.
 

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,794
2,000
Sijui ulichokua unaangali au k7gezo ulichokuwa unatumia.
Ila, kwa taarifa yako tu ni kwamba, Chit-Cjat ndiyo jukwaa lenye threads zilizofikisha idadi ya comments 60,000 up to 500,000 and counting.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom