luziiii
Member
- Jan 14, 2018
- 43
- 49
Usiku umefika tulala usingizi bilahatakinga,wenzetu wachawi ndiokazi inaanza, nyumba yako umeweka ulinzi wakutosha lakini walewazee wanakuja nakuingia bila hodi.
alieumba giza pia akaumba nuru
Nimekwisha wahikusema 01:25hrs wanakua namkutono hadi 01:45hrs
Kama bado hujalaa nakusihi fanyamaombi
alieumba giza pia akaumba nuru
Nimekwisha wahikusema 01:25hrs wanakua namkutono hadi 01:45hrs
Kama bado hujalaa nakusihi fanyamaombi