Wanafunzi 229 wasomea chini ya miti Mtwara

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,890
Reaction score
18,740
Kwa ufupi
  • Wanafunzi wanaosoma wakiwa chini ya miti ni wa darasa la tatu, nne, tano na sita.
  • Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rashidi Chalilo alimweleza mwandishi wetu aliyeitembelea jana kuwa wanafunzi hao ni kati ya 436 wa shule hiyo.
Source: Mwananchi

Nafikiri ile juhudi ya Madawati ielekezwe kwenye madarasa pia!!
 
HUKU BILION MOJA INATUMIKA KWA CHAGUZI ZA KIJINGA IFIKE MAHALI WANANCHI TUWE WAKALI AISEE
 
Elimu ktk nchi hii haijawahi kuwa priority ni usanii tu wa elimu bure wakati watoto wao akina Jurgen anasoma Feza
 
Back
Top Bottom