Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja...
19 Reactions
662 Replies
8K Views
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi ◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha ◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁 ◇...
23 Reactions
309 Replies
11K Views
1. Jamaa ni bodaboda alimzalisha mwanamke mtoto wa kiume nae wakamuita ALEX 2. Hawakuoana hivyo mwanamke alijifungua akiwa nyumbani kwao. 3. Baada ya kujifungua mwanamke ameishi na mtoto kwa...
3 Reactions
18 Replies
348 Views
Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake. Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili...
3 Reactions
1 Replies
166 Views
Kwa sisi wageni tunaoishi China, linapokuja suala la unywaji wa kahawa, mara nyingi tunajiuliza: Wachina walifanyaje hadi kahawa ikawa kinywaji kinachopendwa katika nchi ambayo kwa maelfu ya miaka...
1 Reactions
1 Replies
161 Views
Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem. Nchi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋. Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye...
3 Reactions
25 Replies
622 Views
Wakuu heshima kwenu, Leo tangu kumekucha nimekaa nikiwatafakari dawasa na hao wizara ya maji Kwa ujumla, tangu udogo wangu sijawahi ona Dar ikikosa maji hasa kipindi hichi cha mvua lakini mwaka...
2 Reactions
0 Replies
108 Views
Katika maisha Kuna mengi tunayokutana nayo,mengine tunayashinda na Kuna yanayotushinda. Kwa hiyo Kuna mengi ya kumshukuru Mungu katika haya. Nahitaji miaka mingi zaidi Ili niendelee kupata uzoefu...
12 Reactions
26 Replies
325 Views
Shehena ya kemikali hatarishi aina ya salfa imemwagika katika barabara kuu ya Morogoro-Iringa, karibu na eneo la Mindu Mikoroshini, baada ya lori lililokuwa likiisafirisha kupata ajali. Kwa...
2 Reactions
27 Replies
506 Views
Habari wana jukwaa. Wengi kwa sasa tumekutana na either post or habari kuhusiana na ajari. Kwenye mitandao ya kijamii (insta,facebook n.k just to mention few) tunapoteza wapendwa na nduzu zetu...
2 Reactions
6 Replies
182 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko yaliyojitokeza kwenye mitandao ya kijamii kuhusu deni la mkandarasi, Frank Mwakajumba zaidi ya shilingi mil 30...
3 Reactions
2 Replies
202 Views
Ndugu wana jukwaa, tarehe 25 June 2024. mishahara ya wafanyakazi wa serikali ilitoka. Hata hivyo hakuna nyongeza yeyote, hata ile annual increment. Cha kushangaza, vyama vya wafanyakazi viko kimya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mjumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu mstaafu Prof. Ibrahim Juma amesema kuwa wamepokea simu zaidi ya 300 zenye...
8 Reactions
21 Replies
546 Views
Maisha yamenipiga, sasa nataka nimrudie mungu wangu kwahiyo mnisaidie kwanza jibu la swali hilo ili nione maamuz nitayochukua sahihi kweli sikurupuki
4 Reactions
46 Replies
419 Views
Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
4 Reactions
15 Replies
409 Views
KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu...
22 Reactions
187 Replies
5K Views
Habari wapambanaji wenzangu, Natumai mko salama. Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na...
3 Reactions
26 Replies
559 Views
Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
11 Reactions
79 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…