Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba kama kuna mtu anajua lolote kuhusu ajira za EWURA za Mwezi uliopita wa DECEMBER kama interview zimeitishwa tayari. Nadhani mwajua kuwa wanasema only selected ones will be contacted...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna video hizi mbili ambazo zinaonyesha tukio la kijana mmoja ambae anavunja sheria za barabarani kwa kuendesha maeneo ambayo ni hatarishi na kwenda kufikia speed 180km/Hr Tizama video hizi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mi ninapenda tu kujua kwamba, Serikali inaposema kwamba wazazi wasitoe michango yeyote Shuleni ina maana wanafuta lunch and Uji kabisa kwa wanafunzi wa kutwa, au serikali itakuwa inatoa na HUDUMA...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Jana katika mizunguko yangu nilipita kwenye gulio/soko nikawa nimenunua nguo za mwanangu ila nilivyo fika home mdada wa kazi katika harakati za kutaka kufua akakutana na hii noti ya Omani....100...
1 Reactions
43 Replies
20K Views
Jamani watu wa mazingira hili amlioni pamoja na Halmashauri ya jiji letu la DSM imekuwa kero kubwa hasa mitaa ya Posta kupitia Samora Avenue kuanzia mida ya saa moja mpaka mbili harufu mbaya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani kama kichwa kinavyo eleza niko hapa kigoma zaidi ya wiki 2 sasa maji hayatoki mji mzima ukiuliza sababu wanasema umeme umekatwa watu wanatesa maji hakuna watu wanachota maji ziwani machafu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je, Agano ni nini? Agano ni mapatano baina ya mtu na mtu ama baina ya pande mbili na ambalo linawafunga wote wawili . Agano huwa linaambatana na kanuni za Agano ambazo hazipaswi kuvunjwa na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wako anaenda shule asubuhi kiomita saba toka nyumbani kwako hajala na anatakiwa afuatilie masomo na kushinda mtihani wa kidato cha nne. Wewe kama mzazi ni vyema utumie akili yako ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona mara kwa mara humu ndani vijana wengi wakilalamika kuhusu costs za sherehe za harusi na kuona kama vile ni kikwazo kwa wao kuweza kuuaga ubachela. Ninachopenda kuwaambia ni kuwa...
7 Reactions
46 Replies
16K Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akimpa pole mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Karatu, Moshi Darabe. Karatu. Wakazi wa Karatu na baadhi ya wabunge wamejitokeza kuaga...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Sumbawanga. Mwanakwaya wa kwaya ya Mtakatifu Secilia, Kigango cha Muze Parokia ya Zimba, Jimbo Katoliki Sumbawanga, Flora Nandi (25) ameanguka na kufariki dunia muda mfupi baada ya kutoa sadaka ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa muda usiojulikana kwasababu ya kukosekana kwa takwimu za utendaji wa vituo vya maji nchini...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Kampuni ya uzalishaji dhahabu ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 (kuanzia tarehe 1 Septemba hadi 31 Disemba) mwaka ikionyesha uzalishaji dhahabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi wa miji ya Shinyanga na Kahama wamekosa maji kwa siku 7 baada ya TANESCO kukata umeme kwenye mtambo wa kusukuma maji uliopo Ziwa Victoria. Hii ni kutokana na deni la zaidi ya Sh...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana JF kwakweli nimeshindwa kuelewa kwanini website ya ofisi kubwa kama Secretarieti ya ajira ktk utumishi wa uma kutopatikana tangu wiki iliyopita. Sijui sababu ni nini lakini kwa taasisi kubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu?nahitaji msaada wa mwenye mawasiliano ya kumpata direct mkurugenzi mkuu wa mfuko wa GEPF, nasumbuliwa stahiki zangu bila sababu ya msingi kwa mwenye nayo naomba ani pm
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima, ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018. Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito'' Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wapendwa Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali wakati ninapotumia google map ila bado sijapata jibu na ukizingatia picha z sattelite zimepigwa mchana kweupe....kwa mwenye uwelewa naomba anijuze
1 Reactions
34 Replies
5K Views
MSAADA WA MUHIMU SANA UNAHITAJIKA Ndugu zangu heshima iwe kwenu, Ninachotaka kuwaelezeni hapa ni stori ndefu kidogo kuhusu maisha ya mama mmoja niliyekutana naye huko Serengeti nilipokuwa huko...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Habari za leo waungwana? Sala na salam zangu ziwashukie kina mama wote duniani, wenye kujua hasa maana ya nomino yenyewe MAMA na wenye kuitendea haki nomino hiyo kama ambavyo chapisho hili...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…