Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.
Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge...
Mahitaji yai bichi na Nazi iliyokomaa na kuanguka yenyewe kutoka juu.
Chukua nazi au yai weka kiganjani
Tembea taratibu sana
Kama ardhi ina maji yai linasimama lenyewe.
Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Peter Msigwa ametamaushwa na hali ambayo ameikuta kituo cha polisi Iringa Mjini na kusema kuwa hali lazima iwe mbaya kwa raia wa kawaida.
Kulingana na taarifa...
Jana tulijuzwa hapa Jf kuwa askofu Kakobe leo ana safari ya kwenda kuitikia mwaliko wa TRA, mwenye taarifa ya kilichojiri tafadhali atujuze! cc: kibeseni
Habari wadau,
Nimeona link hiyo youtube naona watu wengi waliofanikiwa huko Marekani wanaponda degree ni useless katika kufanikiwa.
Kwa mazingira yetu ya kibongo una maoni gani?
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema daktari wa Hospitali ya Milembe mkoani humo amethibitisha kuwa Tito Machibya maarufu kwa jina la Nabii Tito ana tatizo la akili...
Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos...
Wakuu za saizi
Mara nyingi katika pitapita zangu za mitandaoni kwa kujipatia yaliojiri kupitia ukurasa wa mdogo wangu, kamanda Yeriko Nyerere, anaejiita mwana siasa na mwaandishi.
Hutumia nguvu...
Habari wana jukwaa..!
Baada ya kukaa kwa muda mrefu kidogo bila kupost thread nimejihis kuwa na kiu na shauku ya kupost chochote Ili kukata kiu yangu, bila kuzungatia maudhui ya uzi huu ila lengo...
Wadau naomba tujadili hili!
Mabasi yote ya New Force kwa nyuma kwenye handle ya kufungua buti kumefungwa kitambaa chekundu hii inamaanisha nini?
Mkumbuke pia kipindi cha nyuma basi zote...
baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex
wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama
Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Habri wana jamvi.. Kuna huu mti unatumika Sana Kama mapambo na kivuli ktk nyumba zetu.. Kuna mgen alinitembelea akanambia Mti huu unahusishwa na ushirikina. Mikosi magonjwa na nuksi ktk nyumba...
Kwa kweli bustani hiyo tajwa inatutia aibu wakazi wa jiji pamoja na viongozi wote wa jiji ili na vitongoji vyake,dunia nzima katika miji utakuta bustani nzuri za kupendeza,huko utakuta wananchi...
Ni wazi Gambling pays big time to these gambling companies,
Michezo hii ina hasara nyingi kwa wananchi kuliko faida,
Kuna haja serikali kudhibiti hii michezo inayowatengenezea faida kubwa...
Juzi ilitokea ishu ya nyufa katika kuta za hostel pale UDSM, walijitokeza watu wengi sana kupondea wahandisi waliojenga lile jengo.
Wengi wa walioponda ni ambao sio wasomi na wale wasomi...