Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SHALOM: Karibu tufahamu ukweli kuhusu neno la MUNGU, na kuacha kuyasikiliza yasiyompendeza na kulichafua Jina la mwenyezi MUNGU. Zaburi115:4-8 Wazifanyazo watafanana nazo kila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I have just received this email from a friend.. It has happened to a cashier from TIB (Tanzania Investment Bank)....Please be aware dunia imeharibika Dear friends Leo nimeona ni vyema...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna adui yangu atakayeweza kuusogelea mwili wangu siku zangu zikifika, Macomrade wangu hawataruhusu dhambi hiyo kama ambavyo mimi sintoruhusu dhambi hiyo kwao..... Kukusamehe haina maana...
7 Reactions
149 Replies
18K Views
Wakuu nahitaji kwenda Newala kwa wenyeji wa huko tafadhali naomba mnijuze basi zuri nauli ni kiasi gani na hotel/Guesthouse kuanzia sh. 25-30.
1 Reactions
92 Replies
19K Views
WANABODI, NIMEFUATILIA KWA KINA MUSWADA WAKUUNGANISHA MIFUKO NA KUANZISHA MFUKO MMOJA MPYA (PSSSF), NA HAYA NDIO MAJANGA YA MUSWADA Muswada wa kuunganisha mifuko ya PPF, LAPF, GEPF na PSPF na...
9 Reactions
56 Replies
17K Views
Kwa wahusika hili vumbi ni hatari kwa afya zetu, tunaomba mtusaidie huu ukarabati wa hiki kipande cha kwenda kwenye stand ya daladala ukamilike tuwe na amani. Maana hili fumbi ni hatari.
1 Reactions
8 Replies
922 Views
JAFO AFURAHISHWA KASI YA MRADI WA DMDP KINONDONI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo Leo Amefanya Ziara Wilaya Ya Kinondoni Kukagua Mradi Mkubwa Wa DMDP. Katika Hatua Hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema magogo 938 yaliyopo Bandari ya Dar es Salaam yatauzwa wakati wowote baada ya wamiliki wake kutojitokeza. Mwezi uliopita, Kigwangalla...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
TAASISI YA WACHUNGAJI TANZANIA. Imehadili yafuatayo kutokana na kitendo cha MTU anajiita NABII Tito kulichafua Jina la MWENYEZI MUNGU. 1.Mamlaka ya uongozi wa makanisa ya kilutheri kulifumbia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimeikuta kwenye fb page ya Happy Joseph na ninawaleteeni kama ilivyo TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake) Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye taarifa atujuze wengine tuko mashambani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi kuamkia mwaka mpya, daktari Mzanzibari alilewa, katika ulevi huo akatoa Maneno yasiyokuwa ya staha kwa Mtume Mhamad SWA, clip hiyo ilionekana mitandaoni, akakamatwa kwa kosa la kumkashfu...
24 Reactions
423 Replies
43K Views
Wadau wa JF Mamajusi ni neno la Kiswahili ambalo limetokana na Kiarabu 'majus' lililopokelewa kutoka Kiajemi cha kale kupitia Kigiriki.Kwa asili neno hili lilimaanisha makuhani wa dini ya Uajemi...
2 Reactions
19 Replies
16K Views
Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya basi dogo la abiria kampuni ya Mkombozi kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Walawi katika eneo la...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Pengine haya mambo huwa hayamfikii Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi lakini kiukweli kumekuwa na chuki kubwa sana ya wananchi kwa Jeshi hilo. Siku ukibahatika kukutana na Mkuu huyo Utamweleza...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nina ndugu wawili wamefia hospitali mpya Mlonganzila, mmoja hata hakupata nafasi ya kuhudumiwa na dakatari, mwingine kwa sababu ya uzembe. Hivi mkuu analazimisha kufungua hospitali mpya. Huku...
16 Reactions
76 Replies
10K Views
IGP siro uwa anakemea matendo ya hualifu kama wakutumia silaha au uporaji wa aina yeyote..Kuwa mtu asijiusishe nao...huku akimalizia kwa kusema mwisho wa ubaya ni ubaya. Sasa awa vibaka wamekuwa...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Habari zenu ndugu zangu, Kwa muda wa Majuma kadhaa nipo Dodoma Mjini na nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi. Katika uchunguzi wangu nimegundua mambo kadha wa kadha. Hapa nitazungumzia...
12 Reactions
118 Replies
22K Views
Licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya nchi za Afrika, inaelezwa kuwa bado wananchi wa bara hilo wanaukubali uongozi wa rais huyo. Wakati akiingia madarakani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow ladies and gentlemen, Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikiwaza kama ni mikosi ama kuna sehemu nimekosea? Maana maisha yangu yamegeuka ni ya mihangaiko kila pakuchapo, nishafanya kazi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…