Pendekezo langu, Lowassa aongezewe Ulinzi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,837
Nina wasi wasi kuna watu wanaweza kumdhuru kwani sikutegemea kitendo kidogo kama cha yeye kukutana na Raisi wetu kingeumiza watu namna hii, hivyo naishauri Serikali yetu imuongezee ulinzi Waziri Mkuu wetu mstaafu!

Lowasa anajua mengi hasa kuhusiana na sabotage na Usaliti uliofanywa na unaondelea kufanywa dhidi ya nchi yetu na chadema + Tundu Lisu + other evil people!

Hivyo Lowasa alindwe kwani amekataa kuona nchi yetu ikisalitiwa, amekataa kuwa sehemu ya evil na ameamua kuwa sehemu ya ukweli, ...
 
Nina wasi wasi kuna watu wanaweza kumdhuru kwani sikutegemea kitendo kidogo kama cha yeye kukutana na Raisi wetu kingeumiza watu namna hii, hivyo naishauri Serikali yetu imuongezee ulinzi Waziri Mkuu wetu mstaafu!

Lowasa anajua mengi hasa kuhusiana na Usaliti uliofanywa na unaondelea kufanywa dhidi ya nchi yetu na chadema + Tundu Lisu + other evil people!

Hivyo Lowasa alindwe kwani amekataa kuona nchi yetu ikisalitiwa, amekataa kuwa sehemu ya evil na ameamua kuwa sehemu ya ukweli, ...
tapatalk_1515777881071.jpeg
 
Back
Top Bottom