Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wakuu nilikuja hapa kulalamika cost kubwa nayopewa na mawakili wakati was Ku verified vyeti ambako nilikua nachajiwa 5000@ cheti,so kila nilipokua natuma application ilibidi 30000+ initoke ,lkn...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yan 300bilioni wanapelekewa wanasiasa?walah zitatatafunwa mpka zikome!kwa nn msingewapa vijana wakaanzisha Benki yao wakapeana mikopo alafu wakalipa na riba?ongereen serikali kuleni tu.
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Naitaji zile sijui nisemeje ili nieleweke ila nahisi mtanielewa... Naitaji zile nanilii za kuulia mbu zile ambazo unqchomeka katika umeme alafu inakuwa kama INA ki tube light kikiwaka kile mbu...
1 Reactions
4 Replies
829 Views
Habari, Nina safari ya siku mbili morogoro mjini, Naomba kufahamishwa guest house nzuri mjini moro.. Iwe na usafi wa hali ya juu, Iwe self contained, Iwe na AC Ulinzi na usalama wa uhakika...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na kujifunza huongezeka mara...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ilivyo kwa sasa serikali inahamishia makao makuu Dodoma hivyo shughuli zake zote kuwapo Dodoma. Tunatambua pia makao makuu ya kanisa Katoliki kuwapo Dar na kanisa la St. Joseph kutumika kama...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Kumekuwa na malumbano juu ya kipi kati ya serikali isiyokuwa na dini, na dini kuvuka mipaka yake na kujikuta kwenye uwanja wa mwinzie. Inaaminika kila kimoja kina mipaka yake na kila kimoja...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Habari JF? Naulizia ubalozi wa nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati nchini Tanzania upo wapi? Nahitaji kupata VISA.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna taarifa za mikopo ambayo taarifa zake zinasambaa hasa Mkoa wa Tanga na wilaya zake sijui mikoa mingine kwamba kuna mkopo unatolewa kwa wakulima na wafugaji kuanzia milioni mbili kwa mfugaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam wandugu kichwa chajieleza, wakuu naomba kujuwa asili ya Mzee Moses Nnauye baba wa Nape Nnauye. alizaliwa wapi na kijiji gani na alisoma wapi. Wapo wanaosema Singida, Lindi na wengine Mtwara...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
1.Ghana 2.Sychelles 3.Mauritius 4.Botswana 5.Namibia 6.Algeria 7.Sao tome & Principe.
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Ulikua ni mchezo maridhawa wenye taratibu na kanuni zilizosukwa vizuri sana. Kuna kiduara kinachorwa zikawekwa gololi zikiitwa kwenye mchezo "mali", ambazo wachezaji wote wanachangia kwa idadi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi Mh. Rais Christmas hii amesalia kanisa gani. Sijasikia alipokwenda kusali. Hii ni siku kubwa na Rais ni nembo ya Taifa, kujua aliko sali ni muhimu kwa raia.
0 Reactions
5 Replies
756 Views
Malalamiko ya wachimbaji wadogo ni kutothaminiwa na kupewa huduma muhimu za kijamii ikizingatiwa kuwa wanafanya shughuli zao kisheria kama wazawa ambao wana haki ya kutumia rasilimali zilizopo ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hizi ni nchi mbili duniani zisizo na eneo maalumu lenye mipaka maalumu na ambazo watu wake wanaishi kama raia wasio rasmi kwenye nchi ambayo haikuwepo kabla. Wote hawa wanatawaliwa na nchi...
0 Reactions
4 Replies
677 Views
Hawa kwote ni partners in crime, kuanzia Migodini, real estate mpaka kwenye mobile phones companies lkn Rostam Aziz ni tajiri mkubwa sana, na utajiri wake ameupatia hapa kwetu, kwanza nasikia ana...
1 Reactions
48 Replies
11K Views
Kabla ya kuanza kusoma kisa hiki naomba tuwe watulivu na wanyenyekevu pale watumishi wa Mungu wanaposema jambo, ni hatari kuwadharahu. 1 Wafalme 22 1 Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Joel 2:12-13 Even now,” declares the Lord, “return to me with all your heart, with fasting and weeping and mourning.” Rend your heart and not your garments. Return to the Lord your God, for he is...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
THE LESSON FROM A DONKEY! One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do. Finally, he decided the animal was...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…