mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Dhahiri kwa macho yangu Jana nimeshuhudia baadhi ya Wafanyakazi ya benki ya CRDB tawi la Nanyamba wakivuta Mkwanja kutoka kwa Wakulima wa korosho wa maeneo hayo ili wawasaidie kupata huduma haraka.
Wafanyakazi hao wamekuwa wakiwataka wakulima watoe sh. 5000 hadi 10000 ili wawasaidie kupata pesa zao haraka. Kwa kile ambacho wakulima hao hawafahamu kuwa wananunua haki yao wamekuwa mstari wa mbele kutoa pesa hizo ili washughulikiwe haraka.
Wafanyakaz CRDB Nanyamba acheni mchezo mchafu wa Kuwaibia wakulima wa korosho pesa zao.