Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa hizi sikukuu malalamiko ya kuwa pesa hamna me nabisha nilikuwa pale moshi foleni ilivyokamata moshi mjini sheli zimejaa foleni. Barabarani foleni tupu wakati narudi magari yamejaa...
0 Reactions
6 Replies
776 Views
Makampuni yanayotoa huduma za simu kama tigo, voda, airtel na halotel sasa yametuzoea vibaya, yanafanya kila wakitakacho na hawajali wanawaumiza wateja wao kwa kiasi gani, hali hii inapelekea...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu hapa tayari nimeshavurugwa. Tayari nimeshapokea simu nne kutoka kwa kaka mkubwa, dada yangu, rafiki yangu (mtumishi wa Mungu) na Baba mkwe - kuwa kuna watoto wamefauru vixuri darasa la saba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa zibaki siku na masaa machache tuweze kukamilisha mzunguko mzima Wa mwaka 2017 , kuna matukio kadhaa yaliweza kutokea Tanzania ndani ya mwaka 2017 na yalichukua nafasi sana kwenye vyombo vya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
We must have seen this somewhere before... Ezra and Thomas joined a company together a few months after their graduation from university. After a few years of work, their Manager promoted Ezra...
3 Reactions
4 Replies
732 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na bila kuweka fitna au unafiki wowote , ninaomba kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya sikukuu hizi maarufu sana duniani wapenzi , washabiki na wanachama...
39 Reactions
110 Replies
8K Views
Kwa mtu anayetumia barabara ya Nyerere huenda atakuwa ameliona au ameshawahi kukutana na dhahma hii hasa madereva. Unapotokea uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere unapofika eneo la vingunguti...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huu ni muujiza toshaa kabisaa Aisee hii nchi sina hata la kusema eti tunakimbilia uchumi wa Kati halafu usafi tuu maduka yote yafungwe, mji usimamishwe na shughuli ya usafi Duhhh Eti faini...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie,yawezekana mimi nawaza mawazo yangu yananipeleka kusiko. Luis Shika ni mtu mwenye akili timamu,smart,anajua anachofanya na anafurahia anachofanya na jinsi alivyofanikiwa na upo...
12 Reactions
36 Replies
10K Views
Unless kama watalivuta mapema, otherwise panaweza pakawa na foleni kali kidogo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Watu wengi wamekuwa wakitubeza sana vijana tunaokaa kwa mashemeji zetu kujishikiza kufuatilia michakato ikae sawa. Sasa kuna wale ambao tumekaa sasa zaidi ya mwaka na michongo bado imegoma. Huku...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu na Kwa wanaohusika, Mimi ni mfuatiliaji wa mambo mbali mbali katika maeneo yanayonizunguka wakati na mahali popote. Hivi karibuni nimesikia kilio cha wafanyakazi wa Usafi katika Majengo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana bodi, Kwanza nitoe pongezi kwa Serikali kwa ujenzi wa lile daraja la Nyerere, yaani limekuwa msaada mkubwa kama kiunganishi kwa wakazi wa kigamboni lakini pia ni kivutio kikubwa kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Awali ya yote heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Ninapata ukakasi mkubwa sana kwenye utendaji wa jeshi letu pendwa la police.Sijajua kwa nini hawataki kuenda na pamoja na falsafa za mhe. raisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni maajabu sana! Ujue kuna nyakati tafakarishi anazopitia binadamu zinashangaza sana! kuna watu wakifulia utawahurumia wanavyotia huruma, kuna kipindi kile ambapo mwanaume anapigika na kuishiwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Watu wawili wamejeruhiwa baada ya daladala inayofanya safari zake kati ya Kawe na Gerezani, Jijini Dar es Salaam, kuaanguka eneo la Kigogo Msimbazi.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Mwingine Akamatwa na Dawa za kulevya MOSHI akiwa amejifunga mwilini.....
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habarini za mchana wana jukwaa.Leo waziri wa fedha na mipango ametoa takwimu kuwa tuna $5911.2 katika hifadhi yetu ya fedha za kigeni je ndugu waziri anamdanganya nani na kwa faida ya nani?na pia...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Some men and women are bleaching their skin using dangerous chemicals. Black is beautiful, People should be happy with their God given skin. I know of a woman who has to visit a clinic regularly...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…