Rejea mada tajwa hapo juu.
Kwa imani ya Makanisa ya wakristo kuna amri 10 za Mungu ambazo wengi wanazofahamu. Sijajua upande wa ndugu zetu Waislamu lakini nina uhakika mambo mengi yanafanana...
WAMLAWITI MTOTO MDOGO
MPAKA KUTOKA MAFUNZA-PEMBA
Jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba
linawashikilia vijana watatu wakaazi wa
machomane wilaya ya chakechake kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mdogo wa...
15 of the Best Health Benefits of Smiling | Sunwarrior
We spend trillions of dollars every year in the U.S. alone trying to boost our health. With supplements, fitness routines, gym memberships...
Habari za jion wajemani
Kuna michezo ya taasisi za umma na makampuni binafsi yana itwa Shimmuta
Hii michezo imefunikwa na rushwa sana yaani viongozi wake ni nirushwa tu kira wanachofanya
Tunaomba...
Wanajamvi amani weI nanyi.
Kama wasemavyo wana Chadema kama kwenye uchaguzi mdogo kiasi hiki wanalalamika kuchezewa rafu na CCM,tena na kuamua kurudisha majeshi yao nyuma si ni aibu kubwa hata...
WAdau naomba msaaa wajinsi ya kutambua mtu alipo kwakutumia namba yake ya simu maana nikimpigia hapatikani na ilifanyautapeli baada ya kukubaliana kunisaidia ku swap laini akaiswapu kwa mfumo...
Mtu mmoja mkazi wa Kitongo cha Rose kata ya Magomeni wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyejulikana kwa Jina la Salum Omary (37) amefariki dunia papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga...
Zaidi ya watoto 9000 wanakosa haki ya kupata elimu kutokana na wazazi wao kuishi katikati ya hifadhi za misitu wilayani Chunya ambako hakuna miundombinu ya aina yoyote husani inayoweza kuwapatia...
Mwaka 1995 nilikuwa darasa la Sita shule ya Msingi Sunge, wilayani Kahama,Mimi Deogratius Kisandu nilikorofishana na Babu yangu mzaa mama Mzee Tundule a.k.a (Kipungo) ambako nilikuwa naishi...
Wanasayansi wanasema kwamba ziwa kubwa zaidi lenye maji tulivu barani Afrika Victoria linalounganisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda, lipo katika hatari kubwa ya kukauka.
Wanasema kwamba uvuvi...
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na asasi za kiraia kanda ya ziwa limezindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili, huku takwimu za ripoti ya utafiti wa vitendo hivyo kwa mwaka wa 2015/2016...
Ndugu wana jamii forum Nawasalimu kwa jina la Mnyezi Mungu Muumba wetu.
Naleta maada hii kwenu ili kuwaeleza maswahibu yanayoniandama moyoni mwangu ili kama kuna yeyote aliyepitia basi tupeane...
Kikosi cha doria na udhibiti wa uvuvi haramu katika mkoa wa Kagera kimeendesha operesheni ya kushtukiza ndani ya Ziwa Victoria iliyokuwa na lengo la kupambana na vitendo vya uvuvi haramu na...
Laiti tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani, Hata Mimi ningelazimisha kuwa Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo...
Licha ya Tanzania kuwa na mfumo wa Serikali za Mitaa, inaelezwa kuwa mifumo hiyo haifanyi kazi kwa uwazi jambo linalozuia umiliki wa wananchi juu ya matumizi na uendelezaji wa rasilimali zao...
Habari Zenu wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Mimi ni kijana Mtanzania nimepata tatizo la kupotelewa na cheti cha kuzaliwa. Ninaomba msaada ushauri au namna ya kuweza...