Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Laiti tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani, Hata Mimi ningelazimisha kuwa Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo,

Tuishi kwa upendo maana kesho yetu Mungu ndie anaijua Sioni sababu ya watu kumwaga Damu kisa kutaka Ushindi,Hii ni Nchi yetu sote hakuna mwenye hatimiliki naomba kuwasilisha
 
Daaa 5 stars kwako kaka, mada kama hz ni adimu sana jf, sio kila siku papuchu, gegedio mpk keyboard zimejiset auto word prediction unaanza P inakuletea papuchu.
na kukosoana tu kama hapo ilibidi iwe papuchi
 
Daaa 5 stars kwako kaka, mada kama hz ni adimu sana jf, sio kila siku papuchu, gegedio mpk keyboard zimejiset auto word prediction unaanza P inakuletea papuchu.
Ngoja uone uzi utakavyodolola sasa wakati content yake ina uzito wa tani za kutosha. Ila andika demu anikanyima papuchi kisa kibamia ndani ya nusu saa reply 100+
 
Laiti tungekua tunaishi milele hapa Duniani,Hata Mimi ningelazimisha kua Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo,Tuishi kwa upendo maana kesho yetu Mungu ndie anaijua Sioni sababu ya watu kumwaga Damu kisa kutaka Ushindi,Hii ni Nchi yetu sote hakuna mwenye hatimiliki naomba kuwasilisha
Nmekuelewa 100%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom