Kuibiwa,ndiyo hoja kubwa sasa kwa Chadema.

Kuibiwa,ndiyo hoja kubwa sasa kwa Chadema.

Dr Louis

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
443
Reaction score
426
Wanajamvi amani weI nanyi.

Kama wasemavyo wana Chadema kama kwenye uchaguzi mdogo kiasi hiki wanalalamika kuchezewa rafu na CCM,tena na kuamua kurudisha majeshi yao nyuma si ni aibu kubwa hata kwa wanaowaongoza kutwa kulalamika kwenye mitandao tu bila kutafuta ufumbuzi.

Hakuna Nyuki yeyote anayeweza kutua kwenye ua lisilo na faida katika utengenezaji wa asali yake,msikae tu kulalamika fanyeni mambo yatakayowavutia wananchi kwa hoja zenye maana siyo kutwa kucha mko kwenye mitandao kulalamika kuibiwa.

Hata baba mwenye familia akiwa analalamika kila wakati bila kutafuta ufumbuzi wa namna ya kutatu matatizo ya familia yake anapoteza heshima yake kama Baba,hebu kaeni mtafakari na mchukue hatua siyo kuleta propaganda sizo na maana wakati mna uwezo wa kuamua kufanya mambo makubwa na jamii ikawapenda.
 
Back
Top Bottom