Msaada na maelekezo kuhusu kupata upya cheti cha kuzaliwa

Gru

JF-Expert Member
Nov 14, 2017
209
500
Habari Zenu wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Mimi ni kijana Mtanzania nimepata tatizo la kupotelewa na cheti cha kuzaliwa. Ninaomba msaada ushauri au namna ya kuweza kutengeneza upya na hatua zipi nizifuate.

Natumaini nitapata msaada wa kimawazo au hata namna ya kupata upya hapa!

Jioni njema Wakuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom