Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA. 1) Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba. 2) Kupenda kuona...
11 Reactions
15 Replies
441 Views
Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya? Bunge la chama kimoja liunde katiba? Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni...
3 Reactions
5 Replies
163 Views
Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina...
8 Reactions
12 Replies
335 Views
Huwezi kujua . Huenda ni bahati mbaya. Alafu unajichukulia sheria mkononi kuchoma moto gari la mtu. Huu sio ustaarabu kabisa
4 Reactions
6 Replies
197 Views
Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo...
1 Reactions
8 Replies
331 Views
Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo Wataalamu wanasema huo mfumo...
14 Reactions
63 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=QrOC2UqMrIY
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu. Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi. Sasa hivi ofisi za umma parking...
1 Reactions
11 Replies
286 Views
BANGI .Kitaalamu Mmea huu unaitwa Cannabis Sativa au Marijuana.Majina mengine ni Bangi ,Ganja,Hashish nakadharika. Mmea huu ni mdogo wenye majani yake malaini kama unavyowezakuona kwenye picha...
2 Reactions
17 Replies
904 Views
Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ ==== Tanzania imeandika historia mpya...
0 Reactions
5 Replies
331 Views
Usijifananishe na wewe wa jana au mtu mwingine yoyote yule. #look the man in the mirror an be strong.
2 Reactions
4 Replies
158 Views
Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu. Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu? Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema...
8 Reactions
132 Replies
1K Views
Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda...
2 Reactions
6 Replies
216 Views
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
πŸ˜…πŸ˜… Watu wengi mitandaoni wanasema Trump anafanya mambo ya kitoto kujaribu kuiga/kuimitate trans weightlifter (wanaume waliobadili jinsia kuwa wanawake na kwenda kushindana na wanawake kwenye...
5 Reactions
49 Replies
617 Views
Mkuu Pasco shalom Najua nikisema nawe hapa utawaambia na wenzako .Hivi hii tabia ya kupewa bahasha ndiyo habari ziandikwe kwenye magazeti na TV zenu ina manufaa gani kwa Taifa ? Nasema haya nikiwa...
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…